Watanzania wengi ni watu wasiokuwa na ustaarabu katika kuongea

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,602
19,514
Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.

Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
 
Nadhani kulitoka takwimu za ongezeko la changamoto za afya ya akili.......hii inaweza kuwa sababu.....lakini tatizo hili halipo Tanzania pekee yake maana hata huko kwenye mitandao ya Nigeria hali ni mbaya.....
Nimewahi kuwa mshiriki wa Forums za Nigeria, Ghana na Zimbabwe. Nilichoona Nigeria na Zimbabwe ni kuwa wanabishana kikabila zaidi lakini hawatupiani matusi ya wazi wazi kama "Stupid" au foolish." Forum ya Ghana ilikuwa ya kistaarabu sana
 
Nimewahi kuwa mshiriki wa Forums za Nigeria, Ghana na Zimbabwe. Nilchoona Nigeria na Zimbabawe ni kuwa wanabishana kikabila zaidi lakini hatupiani matusi ya wazi wazi kama "Stupid" au foolish." Forum ya Ghana ilikuwa ya kistaarabu sana
Waghana ni wastaarabu hata kwenye maisha ya kawaida wana hekima huruma na pia ni watu wa dini sana.......wa Nigeria ni watu aggressive sana....hata kwa maneno......wana hoja nzuri kwenye kujibizana lakini pia ndani yake kuna na maneno ya karaha......pitia pitia Nairaland
 
Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Uli ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.

Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Tabia ya mtu haitokani na utaifa...katika kila Taifa wastaarabu wapo na watu wa hovyo wapo.
 
Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Uli ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.

Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Mkuu huku wanaongea au wanaandika?
 
Ni kukosa ustaarabu na hekima. Mijadala sio vita na huwezi kujua vyote, hivyo lazima ukubali mawazo ya wengine hata kama hukubaliani nayo.

Binafsi nikiona mjadala unaelekea kubaya huwa naepusha shari, nakubali yaishe.
Tubaki tukiwa hatujakubaliana kistaarabu.
 
Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Uli ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga Youtube, instagram na Facebook huko ndiyo usiseme kabisa.

Sababu yake ni nini? stress za maisha au elimu ndogo?
Hata Vichaa pia huona Binadamu wenye akili timamu ni zero brains...

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini,
=
 
images (41).jpeg

s.a.w
 
Back
Top Bottom