DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,686
Alisoma Georgetown Univeristy na sio HavardKama sikosei Mohammed Dewji pia alisoma Havard.
Alisoma Georgetown Univeristy na sio HavardKama sikosei Mohammed Dewji pia alisoma Havard.
Kwa kusema ukweli ulio moyoni kwangu Sioni Kama kuna faida ya Taifa kuwajua. Kuna Watanzania kadhaa ni Maprofesa wa vyuo vikubwa Marekani na Canada. Kuna Watanzania wanafanya kazi sehemu nyeti akiwamo mmoja ni namfahamu personal yuko pale Cape Canaveral ( NASA) pale Florida. Kuna vichwa viko IBM n.k. Kama Taifa halikutambua au halitambui hivi Vichwa basi Taifa linastahili kutopata faida ya michango Yao kwa Jamii na Ulimwengu kwa ujumla. Asante mkuu.
Alichukua PhD ee?Alichukuwa PhD yake Harvard.
Alichukua PhD ee?
Hayaaa hata Mimi nachukua hapa Canada.Naam.
Wewe chukuwa tu.Hayaaa hata Mimi nachukua hapa Canada.
Kuchukua ni rahisi nlidhan amesomaWewe chukuwa tu.
Daaa kweli faizafoxy nilikums sana humu yaani nimejikuta najichekea tu japo huyu stanley mitchell sijui kwanini ametoa lugha ya kuuzi wakati umemjibu kiustaarabu daaa weshakufanya bibi yao.Chukuwa-chukua
Pimbi wewe
Wewe chukuwa tu.
Sasa kuitwa pimbi ni lugha ya kuudhii??Daaa kweli faizafoxy nilikums sana humu yaani nimejikuta najichekea tu japo huyu stanley mitchell sijui kwanini ametoa lugha ya kuuzi wakati umemjibu kiustaarabu daaa weshakufanya bibi yao.
Hiyo tafsida ipo kwenye kamusi gani mdau kama mtu akikosea kuandika ni pimbi dadavuaSasa kuitwa pimbi ni lugha ya kuudhii??
Halafu hajanijibu mimi.
Huyo anajifanyaga kifimbo cheza kwa kukosoa watu kwenye lugha.
Sasa ukiwa unapenda kukosoa ilihali wewe unakosea basi unaitwa pimbi.
Upo?
Sijamaanisha mtu akikosea.Hiyo tafsida ipo kwenye kamusi gani mdau kama mtu akikosea kuandika ni pimbi dadavua
Mngoje aje mwenyewe utashaaSijamaanisha mtu akikosea.
Namaanisha kua mtu anayependa kukosoa watu wakati yeye anafanya kitu hicho hicho.
Kuhusu kamusi...sidhani kama BAKITA/TAKILUKI wameshafanya 'update' kwenye kamusi ila wakifanya...im pretty sure neno pimbi litaingizwa
Hana maajabu pimbi uyoMngoje aje mwenyewe utashaa
Justinian Rweyemamu
Hawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC.
Somebody Daghar, Orijino Tanga.
Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.