Watanzania waliosoma Havard

Watanzania waliosoma Havard

Halafu majitu yaliyosoma hapo yakiongozwa na Chenge kwa kupiga dili usipime.
 
Mohammed Dewji au Yusuf manji mmojawapo nadhani alisoma havard

Dewji went to Georgetown university - washington Dc. same class na Allen iverson 1990's

secondary school amesoma IST. hajagusa necta hata kidogo
 
Kwa kusema ukweli ulio moyoni kwangu Sioni Kama kuna faida ya Taifa kuwajua. Kuna Watanzania kadhaa ni Maprofesa wa vyuo vikubwa Marekani na Canada. Kuna Watanzania wanafanya kazi sehemu nyeti akiwamo mmoja ni namfahamu personal yuko pale Cape Canaveral ( NASA) pale Florida. Kuna vichwa viko IBM n.k. Kama Taifa halikutambua au halitambui hivi Vichwa basi Taifa linastahili kutopata faida ya michango Yao kwa Jamii na Ulimwengu kwa ujumla. Asante mkuu.

wao ndo wanapaswa kulitambua taifa,so far tupo 45m hatuna haja ya kutegemea watu kumi kuliendeleza taifa,kama 45m ni viazi hakika hata einstn 10 hawataweza kuleta maendeleo
 
Ukienda Kenya kuna shule zao za kizalendo kama Alliance High School na Starehe boy zenye wanafunzi lukuki huko. Kwetu Tanzania, kama haujatoka IST au ISM au Mzizima, kufika Harvard, Yale, n.k kwa masomo ya B.Sc/BA ni mbinde.

Nadhani kuna haja ya kuhamasisha wanafunzi wa sekondari zetu za kama Feza Boys, Marian, Kaizirege kufanya application huko. Talent ipo. Tatizo ni maandalizi tu.
 
Dr.Makoroza Mohamed Bin Hilal mtu wa kusini mwa Tanzania ni Myao aliyesahaulika na hii nchi yetu ya Ki-ccM ccM sijui yuko wapi huyu more than simply Genius
 
mzizimkavu , le mutuzi,miss chaga,shy-land,mshana jr,pasco.n.k n,k
 
Kuna vijana wawili wa kimasai kutoka kijiji cha Arash Ngorongoro. Mmoja amemaliza udaktari na mwingine mambo ya engineering huko Harvard. Muulize JK maana ndio ka-support hao vijana kusoma huko! Hivi majuzi niliwaona Mandela University Arusha...sijafuatilia wanafanya nini

True pal
 
Kama ukishindwa kuwasaidia watu wanaokuzunguka kwa elimu uliyoipata Havard au chuo chochote kikubwa duniani nadhani inakuwa ni imaterial
 
Nyerere alikuwa na utaratibu wa kupeleka best of the best students nje Baada ya kuwa wamekuwa recruited for strategies posts in future ....hayo ni maneno ambayo amepata kusema Mzee Msuya " nyerere akiamini lazima Watanzania wachache wapate the best educations the world can offer " ....aliendelea kusema ..." Huwezi kutuma watu Breton wood Kama technical team ya waziri Kama hata culture peke yake Kwao ni barrier ..wataanza kushangaa kila kitu hata Kama Akili iPo ...kila Nchi duniani hata china na Ujerumani ...hupeleka baadhi ya vijana wake kwenye vyuo vikuu bora duniani ....Kama state special scholarship ...
Baadhi ya WALIOPELEKA nje kwa mfumo Huo wapo watu Kama Daudi balali ,Benno Ndulu , Gharib Bilal etc ..Mwandosya etc
Tena wapo WALIOPELEKwa direct from form four ( zamani tunajaza cell form ...unachagua Nchi ....ukibahatika Kama hawa top 10 Mnapata ..pia kuna Nchi rafiki .....
Wengi wameenda wakasimeshwa hadi phd Ndio wakarudi ....
 
Yeah Andrew Chenge ...pia nae ni mmoja wa wafadika wa hizo scholarships na wengine maprofesa mlimani ....

Hawa Kina Mohamed Dewji na Yusuf Manji ..wamesoma Geargetown UNI ...one of the best business schools in the world ..na inaweza kuona namna mikakati Yao ilivyo tofauti na hiz MBA zetu ..wamejisomesha na Wazazi wao .....Wakati MBA au UNI kwa mwaka bongo ni hadi dola 2'000 ..watu wanalipa hadi usd 120'000 kwa mwaka kwenye best universities .....

Hata Kama Serikali ikisema itapeleka vijana 5 kila mwaka ..mchakato wa wazi hatushindwi
 
Back
Top Bottom