Watanzania waliosoma Havard

Watanzania waliosoma Havard

Muislaam ni mmoja tu?


Oyaaaaaa.......... SCUD hizoooooooo ZAJA. Ngoja nisepe Kinyamwezi..... (Natyega)
Justinian Rweyemamu

Hawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC.

Somebody Daghar, Orijino Tanga.

Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.
 
Wanasoma ama wanawanga?kwa nini ufiche majina yao?wanasoma kwa pesa haramu?Sababu ya msingi ya kuficha majina yao ni nini mkuu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Wanasoma kwa juhudi zao na wamepata admissions kutokana na kuwa vichwa. Hata uwe na pesa zako nyingi kiasi gani kama kichwani hamna na hu-qualify Harvard huingii kama unavyofikiria.
Piga simu admissions office watakupatia majina
 
The Boss kwa nin tusngejua na michango yao kwa taifa hadi leo?
 
Last edited by a moderator:
[FONT=TimesNewRoman,Italic][FONT=TimesNewRoman,Italic]Born in 1943, the Hon. Joseph Mungai is a graduate of the Economics Institute of the University of Colorado and of the John F. Kennedy School of [/FONT][/FONT][FONT=TimesNewRoman,Italic][FONT=TimesNewRoman,Italic]Government of Harvard University, with a Master of Public Administration (MPA 1980)
[/FONT]
[/FONT][FONT=TimesNewRoman,Italic][FONT=TimesNewRoman,Italic][/FONT][/FONT]
Joseph Mungai...

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mimi najisogeza sogeza tu hapa hapa TZ

ila nataka tushawishi watu tuanzishe mfuko wa kusomesha wa TZ vyuo hivyo in the future...

Kula tano mkuu. Tukianza hata serikali naamini itafuata na kusomesha wengi zaidi. Lakini kuna tatizo kubwa zaidi, wengi wetu hatuchangamkii nafasi za kusoma nje zenye ufadhili kamili kabisa. Woga wetu ndio umaskini wetu. Tubadilike jamani.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kama ndio ambaye na mi namfahamu proffesional sio daktari ila ana bachelor of science in biochemistry,amefanya resecrch nyingi tu kwenye hospital inayotumiwa na havard kwa medical students wao, na kwa sasa yupo north carolina anafanya phd.
Mkuu Moes,
Nafikiri itakuwa ndio Huyo jamaa kaka. Asante kwa kunisahihisha hapo.
 
Kula tano mkuu. Tukianza hata serikali naamini itafuata na kusomesha wengi zaidi. Lakini kuna tatizo kubwa zaidi, wengi wetu hatuchangamkii nafasi za kusoma nje zenye ufadhili kamili kabisa. Woga wetu ndio umaskini wetu. Tubadilike jamani.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mkuu sidhani kama issue ni woga.
Watanzania wengi hawana access ya proper info ili kutambua ni sifa gani wawe nazo, lini waaply, wafuate taratibu gani ili kujiunga na institutions kama hizo. Internet bado haiwafikii majority ya watz.
Miaka hiyo ya nyuma hata zikija nafasi za scholarships za kwenda nje watu wanapeana kwa kujuana na si kutokana na qualifications za mtu.
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?

Fredrick Sumaye
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?

Watanzania kibao tu wamesoma Harvard xio mpaka muwajue wote ....
 
Mzee wangu alinambia kuna jamaa walisoma nae UDSM Statistics miaka ya 70 akaenda USA wakamng'angania.

Ila huyu jamaa yupo NASA USA na hawamruhusu hata kuja huku kukaa sana inawezekana alipita hapo Harvard kwa Masters.
 
Mimi najisogeza sogeza tu hapa hapa TZ

ila nataka tushawishi watu tuanzishe mfuko wa kusomesha wa TZ vyuo hivyo in the future...

Kweli kuna umuhimu wa kupeleka vijana kwenye vyuo hivi ili wasome na best students duniani.

Mimi nishamfungulia mwanangu account naanza kudunduliza ili akifika 18 aende pale MIT Massachussets lol

Najua dy/dx ni zile zile hazibadiliki ila mtu akitoka pale anakuwa na uwezo mkubwa wa kujiamini.
 
Back
Top Bottom