Watanzania waliosoma Havard

Watanzania waliosoma Havard

Huoni kwa faida ya taifa hasa hao waliosoma uchumi tunapaswa kuwafahamu?
Kwa kusema ukweli ulio moyoni kwangu Sioni Kama kuna faida ya Taifa kuwajua. Kuna Watanzania kadhaa ni Maprofesa wa vyuo vikubwa Marekani na Canada. Kuna Watanzania wanafanya kazi sehemu nyeti akiwamo mmoja ni namfahamu personal yuko pale Cape Canaveral ( NASA) pale Florida. Kuna vichwa viko IBM n.k. Kama Taifa halikutambua au halitambui hivi Vichwa basi Taifa linastahili kutopata faida ya michango Yao kwa Jamii na Ulimwengu kwa ujumla. Asante mkuu.
 
sasa unapinga nini na kukubali nini?
taifa ni nani?si pamoja na sisi?
 
Back
Top Bottom