FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Maajabu bibiye msujudu waarabu leo hii kashabikia elmu ya kikafiri tena ya kimagharibi.....😱😱😱
Nyiyi huwa wanafik tu!
Hiyo ilm usemayo ya kikafir tazama waasisi wake ni akina nani. Jaribu.
Maajabu bibiye msujudu waarabu leo hii kashabikia elmu ya kikafiri tena ya kimagharibi.....😱😱😱
Nyiyi huwa wanafik tu!
Currently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names
Currently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names
Hujanielewa bado.Hiyo ilm usemayo ya kikafir tazama waasisi wake ni akina nani. Jaribu.
Hiyo ilm usemayo ya kikafir tazama waasisi wake ni akina nani. Jaribu.
Kuna prof. mmoja muslim university amesoma hukoSo far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
eti matter of privacy kwan huko havard pia hawajulikani majina, wabongo unafiki.Currently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names
Joseph Mungai - Harvard Graduate.
nimefika kiongozi.. Mtanzania kutoka harvard university.ebwana kuna jamaaa anaitwa worldboss atakuja hapa namuonaga hapa anaposti anasoma huko
Mwanafunzi wa Havard University: Uliza swali lolote kuhusu chuo hiki ujibiwe
we subiri The Boss
hao mmasai pacha ni watoto wa waziri mkuu mmoja mstaafu,japo wanaficha sana ni watoto wa njeKuna vijana wawili wa kimasai kutoka kijiji cha Arash Ngorongoro. Mmoja amemaliza udaktari na mwingine mambo ya engineering huko Harvard. Muulize JK maana ndio ka-support hao vijana kusoma huko! Hivi majuzi niliwaona Mandela University Arusha...sijafuatilia wanafanya nini
Acha uongo wako Ww..hao mmasai pacha ni watoto wa waziri mkuu mmoja mstaafu,japo wanaficha sana ni watoto wa nje
wamerudi tena USA
Inamaana haufahamu ulicho itiwa au? embu pitia nyuzi hapo juu ili tukuamini km wewe kweli unatoka Harvard.nimefika kiongozi.. Mtanzania kutoka harvard university.
Hao hata uwaambie waje kuitumikia nchi yao hawatarudi kwasababu hakuna condunsive environment ya tasnia zao hapa nchini. Mfano tunawashawishi hao wa IBM na NASA watakutana na level ya teknolojia wanayoitumia huko waliko sasa hivi hapa nchini?Kwa kuszaiweli ulio moyoni kwangu Sioni Kama kuna faida ya Taifa kuwajua. Kuna Watanzania kadhaa ni Maprofesa wa vyuo vikubwa Marekani na Canada. Kuna Watanzania wanafanya kazi sehemu nyeti akiwamo mmoja ni namfahamu personal yuko pale Cape Canaveral ( NASA) pale Florida. Kuna vichwa viko IBM n.k. Kama Taifa halikutambua au halitambui hivi Vichwa basi Taifa linastahili kutopata faida ya michango Yao kwa Jamii na Ulimwengu kwa ujumla. Asante mkuu.