Ndio. Kafariki California. Mchango unahitajika kumrudisha nyumbani kwa ajili ya mazishi.
Wanaochangisha kina nani? Sijasikia hii
Ndio. Kafariki California. Mchango unahitajika kumrudisha nyumbani kwa ajili ya mazishi.
Mdogo wake na baadhi ya marafiki zake..Wanaochangisha kina nani? Sijasikia hii
Bonge la Chuo.The Boss kwa hiyo sisi wa Yale sio chuo bora??!
Je sisi wa Princeton?Bonge la Chuo.
Hao wote wa tz waliyosoma havard wameifanyia sana maajabu tz wameipashia sana
Ova
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Basi Ex wako amefariki dunia
Sijui wamepotelea wapi wale?Mbona wale mapacha wawili wa pinda wanasoma huko tena wanachukua PhD za neurology na astronomy tena wakiwa na miaka 24?
Prof. Boas, mtanzania toka Tabora anafundisha kwenye chuo hicho.So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Ni mtanzania au ni mwenye asili ya Tanzania?Prof. Boas, mtanzania toka Tabora anafundisha kwenye chuo hicho.
Yes, alikuwa Department ya Nutrition, akifundisha watu namna ya kuandaa na kula senene vizurimi nilisikia Rweyemamu alikuwa anafundisha Harvard na sio kusoma
Mnyamwezi kwa baba, mama, babu na bibi.Ni mtanzania au ni mwenye asili ya Tanzania?