Watanzania waliosoma Havard

Watanzania waliosoma Havard

Not gifted skills mkuu mbona mi sijasoma huko lakini nilipata kazi kwenye company kubwa duniani kabla hata sijafika mwaka wa mwisho mkuu,kikubwa ni kuonesha uwezo ulio nao
Mkuu..
Hivi umejielewa ulichoandika??!?! Au haukuelewa maana ya neno "Gifted Skills" lilivyotumika!!??
Not Gifted Skills and yet "Kikubwa ni kuonyesha uwezo ulio nao" . How can you do that if one doesn't have "Gifted Skills":shocked::A S-confused1: . Sio lazima Upitie Harvard ili Uwe na gifted skills. Unaweza kusoma UDSM au IFM na ukawa msumeno pia (Braniac
).
 
......uzi wa ku-discuss ''watu''badala ya ''issues'', hamna la maana zaidi kupoteza muda tu hapa.
 
Hebu niambie degree ya Havard inasaidia nini kama haina mchango kwa Taifa na jamii kwa ujumla.Nataka iwe na mafanikio kwa jamii kwanza.Mafanikio yako tuyaone bila hata ya kuingia kwenye siasa.Maana kwenye siasa hata asiye genius hugeuka ghafla kuwa genius

Yeah, ingependeza kama wangetupatia na achievements/deliveries/importance yao kwa maendeleo ya taifa la Tanzania otherwise ni BLA BLA tu! Wana tofauti gani(in terms of efficiency) na waliosoma CBE, MZUMBE, IFM, UDSM, MIST, DIT, ETC!!? Kama ni engineers, Lawyers, Economist,Doctors, etc wamefanya nini kwa manufaa ya taifa la Tanzania?
 
Nafikiri ukishasoma tu Harvard ni kitu tosha watu wakufahamu..
sio kila mtu anapata nafasi ya kusoma Harvard...
watu wangependa wajue ni nani na nani au?
Mmoja mtoto wa waziri wa Kike nomaa kutaja jina
 
FaizaFoxy

Tuwe wa kweli hatuna pa kumuweka na urasimu wa serekali ya MACCM ni SUMU na mjua yule mtaalamu wa CUMA aliyepo Scandnavia country huko ansema walisomeshwa na Nyerere kuja kuzalisha chuma na makaa ya mawe na madini mengine, wamemaliza shule na wamebobe sasa wamerudi NDC na serekali ya MKAPA waliwapiga chini na kuwadharau na sasa wamerudi hukohuko wanaendlea na maisha.

Ona huyu mbona NASA walimruhusu.

Nakuuliza;

Kabla ya kuandika hili bandiko lako ulikuwa umelewa au umevuta bangi?
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?

Havard siyo chuo bora. Ongelea MIT! Havard ni sawa na st mary za bongo. Wanasoma watoto nyanya nyanya wa wanasiasa halafu wanakuwa na wanafunzi wachache wenye akili na ma prof wao ni wale wanaowalipa mishahara mikubwa yaani ni ovyo ovyo tu
 
Nadhani mkuu The Boss kuna haja ya kuwajua, kama na Chenge (Mzee wa vijisenti) amesoma huko!....Hii itatusaidia kupima mchango wao kwa sababu uwezo wa wahitimu wa chuo ni miongoni mwa vigezo muhimu kutathmini ngazi ya ubora wa chuo husika.

You absolute right!

Dr Balali(RIP)na Gavana mwenzake Dr Idrisa Rashid walisoma Havard pia kama nipo sahihi!

Wakirudi toka Havard wanatutengeneza kweli kweli ahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Havard siyo chuo bora. Ongelea MIT! Havard ni sawa na st mary za bongo. Wanasoma watoto nyanya nyanya wa wanasiasa halafu wanakuwa na wanafunzi wachache wenye akili na ma prof wao ni wale wanaowalipa mishahara mikubwa yaani ni ovyo ovyo tu

Mkuu unachanganganya sana mambo sasa!

MIT ni chuo bora duniani kwenye engineering programs lkn Havard kinabaki kama chuo bora kwenye art programs!
 
Extracurricular activities zipo nyingi tu hapo bongo. Mpeleke mtoto hata tennis academy, debating societies, spelling (bee) competitions, math & science society, foreign language institutes etc....try to be creative mkuu
Mtoto akitoka darasani mchana asikae bure tu hadi wakati wa kuingia kitandani

Ngoja nifanye utaratibu wa kumtafutia dogo hata guiter lessons maana si unajua hizi extracuricular ndio wanaangalia sana pale kwenye ivy league schools.
 
Harvard ina schools nyingi, wapo waliosoma na wanaosoma school ya public health wengi sana nadhani kila mwaka hawapungui sita, na wapo waliobaki kama post doctoral fellows kadhaa, humble guys

WHAT DO YOU WANT TO LEARN FROM THEM?


Ni kama kujua wachezaji wanaocheza soka Ulaya
unataka kujua kama wana viwango tofauti na wa kwetu,na kama wanaweza kubadili kiwango cha mpira wetu

jinsi wasomi wengi walivyo tu disappoint kama Taifa.....kuwajua waliosoma vyuo hivi
vinavyotajwa kama 'the best in the world' ni changamoto ...pia
sisemi wao ni automatic the best, but tuna expect wawe better zaidi,na michango yao kwa Taifa ionekane...
 
Tunawafahamu wengi sana! Bila shaka lengo lako ni jema lakini je "wewe ni "decision maker"? Maana hawa watu wanahitaji kutumiwa vizuri sana kwa faida ya taifa letu lakini pia walipwe vizuri na waepushwe na ubabaishaji serikalini na hata ktk sekta binafsi!

Ndio, wapo! Una lolote la kuwaambia? Kuwasidia?!


Ninachotaka wajitokeze,wasiwe na 'maringo' simply sababu 'wana soko all over the world'
wapiganie kulitumikia taifa kama wengine
 
Ni kweli mkuu wenzetu wako makini sana kuchunguza interest za watoto wakiwa wadogo, wanawafanyia kila liwezekanalo kuwapeleka kwenye vikundi/society zinayo husika na interest zao, wakati mwingine wanapewa mafunzo ya ziada.

Ni kweli hata akienda kwenye Ballet jioni inakuwa poa.

Hili swala kuna haja ya kuliangalia upya na ni vizuri mipango hii ikafanyika shule ku organize watoto wawe kwenye groups na kufanya activities za pamoja kama mzazi mmoja mmoja nin ngumu kidogo.
 
Back
Top Bottom