Bensonlukwambe
Senior Member
- May 7, 2013
- 110
- 23
Joseph Mungai...
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
-------- huyo aliye haribu elimu ya bongo nae kasoma Harvard ... Duh ...! Makubwaaaa
Joseph Mungai...
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Mkuu sidhani kama issue ni woga.
Watanzania wengi hawana access ya proper info ili kutambua ni sifa gani wawe nazo, lini waaply, wafuate taratibu gani ili kujiunga na institutions kama hizo. Internet bado haiwafikii majority ya watz.
Miaka hiyo ya nyuma hata zikija nafasi za scholarships za kwenda nje watu wanapeana kwa kujuana na si kutokana na qualifications za mtu.
Wazo zuri sana mkuu na endelea kudunduliza. Ila ukumbuke huyo mwanao nae ajifue na ajitahidi sana ili ukifika huo wakati awe na qualifications za kuingia MIT. Bila hilo unaweza ukajikuta umedunduliza na hela ipo ya kutosha lakini ukakataliwa admission kutokana na kutofikia entry qualifications. Hawa jamaa hawajali hela bali upstairs.Kweli kuna umuhimu wa kupeleka vijana kwenye vyuo hivi ili wasome na best students duniani.
Mimi nishamfungulia mwanangu account naanza kudunduliza ili akifika 18 aende pale MIT Massachussets lol
Najua dy/dx ni zile zile hazibadiliki ila mtu akitoka pale anakuwa na uwezo mkubwa wa kujiamini.
Mkuu! I do not mean to be rude but what's purpose of your question/thread? I might missed the point somewhere but still I dont get it. Help me please!
Wazo zuri sana mkuu na endelea kudunduliza. Ila ukumbuke huyo mwanao nae ajifue na ajitahidi sana ili ukifika huo wakati awe na qualifications za kuingia MIT. Bila hilo unaweza ukajikuta umedunduliza na hela ipo ya kutosha lakini ukakataliwa admission kutokana na kutofikia entry qualifications. Hawa jamaa hawajali hela bali upstairs.
Kumbuka chuo kama MIT dunia nzima wanafunzi wanagombea kuingia hapo, bado kuna wamarekani wenyewe, therefore admission kwenye hizi elite schools ama ivy league schools ina competition ya kufa mtu. They recruit best of the very best from all over the planet!
Professor Amund Majamba,Faculty of Law UDSM.
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Extracurricular activities zipo nyingi tu hapo bongo. Mpeleke mtoto hata tennis academy, debating societies, spelling (bee) competitions, math & science society, foreign language institutes etc....try to be creative mkuuKinachotuangusha huku kwetu ni activities za nje ya shule huwa watoto wanakosa kabisa.
Unakuta mtoto hayupo kwenye club au ka society chochote na michezo hafanyi!
Duh! Itabidi na wa KANTALAMBA tutafutane.[/QUOTE
Mkuu kumbe ulipita Kantalamba? duu pamoja sana. BTW, vijana wa Kantalamba tunakutana mwishoni mwa mwezi huu Mitaa ya Tamali hotel Mwenge
I will help you, nenda jukwaa la mapishi where you deserve.
Ni kweli mkuu wenzetu wako makini sana kuchunguza interest za watoto wakiwa wadogo, wanawafanyia kila liwezekanalo kuwapeleka kwenye vikundi/society zinayo husika na interest zao, wakati mwingine wanapewa mafunzo ya ziada.Kinachotuangusha huku kwetu ni activities za nje ya shule huwa watoto wanakosa kabisa.Unakuta mtoto hayupo kwenye club au ka society chochote na michezo hafanyi!
Kwa kusema ukweli ulio moyoni kwangu Sioni Kama kuna faida ya Taifa kuwajua. Kuna Watanzania kadhaa ni Maprofesa wa vyuo vikubwa Marekani na Canada. Kuna Watanzania wanafanya kazi sehemu nyeti akiwamo mmoja ni namfahamu personal yuko pale Cape Canaveral ( NASA) pale Florida. Kuna vichwa viko IBM n.k. Kama Taifa halikutambua au halitambui hivi Vichwa basi Taifa linastahili kutopata faida ya michango Yao kwa Jamii na Ulimwengu kwa ujumla. Asante mkuu.
Kilaza wewe xio bure ...