Watanzania waliosoma Havard

Watanzania waliosoma Havard

wakuu mimi nilipiga havard ya mwembeyanga, sijui na hiyo inahusika hapa
 
Acha unani mkuu, hawa watu mhhhhhhhh!!! Ila inasikitisha Tanzania ina brain sana na watu wa nje wanawachukua tu kirahisi na wanafanya kazi vizuri. Imagine kuna kijana mzuri wa IT alikuwa BOT na sasa yuko IBM na Green Card alishainyaka na familia. So sad the Brain Drain ni kubwa sana kwa Watz. Maisha magumu wakidai maslahi mnawapiga mabomu ni kwa nini wasiondoke tu?

huyu jamaa wa BOT namfaham aisee alisepa hivi hivi tunamuona
 
Wapo wengi sana mkuu ,hata vijana wetu wa pale umenyeni (Iliboru ) walikuwa wanapata scholarship ila siku hizi naona watakuwa wanapewa vijana wa wazee wa chama . Wengine wamerudi bongo wanasaidia ujenzi wa taifa.
PAULSEN MRINA
STEVEN HABAKUKI
SARA CHECHE

Namkumbuka huyu dogo, alitangazwa kuwa T.O kwa bahati mbaya, ikawa alikua number 10 kama sikosei.. baba yake ni lecturer chuo fulani arusha..
 
Mkuu sikatai mawazo yako. Ni kweli juhudi zako na uwezo wako ndio kigezo bila kujalisha umesomea wapi.
Ila on the flip side, kumbuka Ivy league schools wana-admit best of the very best from all over the world.
Kwa mantiki hiyo utafundishwa na walimu wenye uwezo wa juu sana na utapata knowledge ya hali ya juu.
Proven track record ya vyuo kama Harvard ni pana mnoo.

1.) Jiulize ni kwa nini wapokee grants/research funds in terms of billions of $$$ na chuo kama Kenneswa State au UDSM kisipewe hizo funds?

2.) Kwa nini high profile employers wanaenda kuwasaka wahitimu wa vyuo kama hivi kila semester inapoisha na wasiende kwengine?

3.) Kwa nini majority ya wanaomaliza hivi vyuo hawatafuti kazi bali employers ndio wanawasaka kwa udi na uvumba graduates wao? Top employers wanapiga camp kusaka talent tena with good signing bonus ukikubali ajira!

4.) Ukifanya nao hata kazi makazini kuna elements za creativity na exceptional skills ambazo utaziona na hazijifichi ambazo zinawa-distinguish hawa wahitimu wa vyuo hivi ukilinganisha na wa UDSM

5.) Kwa nini maraisi wengi wa US ama hata PM wa India ni alumni wa Ivy league?

Sisemi kuwa wahitimu wa vyuo vingine ni vilaza. No. Lakini tukubali kuwa majority ya hawa jamaa wa hivi vyuo have gifted skills augmented by exceptional creativity, innovation etc.
Real Madrid haiwezi kufanana na Simba SC ingawa Amri Kiemba anacheza vema kuliko Benzema. Lakini Benzema atakuwa na chati sababu anachechea Madrid

Not gifted skills mkuu mbona mi sijasoma huko lakini nilipata kazi kwenye company kubwa duniani kabla hata sijafika mwaka wa mwisho mkuu,kikubwa ni kuonesha uwezo ulio nao
 
Nadhani mkuu The Boss kuna haja ya kuwajua, kama na Chenge (Mzee wa vijisenti) amesoma huko!....Hii itatusaidia kupima mchango wao kwa sababu uwezo wa wahitimu wa chuo ni miongoni mwa vigezo muhimu kutathmini ngazi ya ubora wa chuo husika.

kweli kuna umuhimu wa kuwajua hasa ukizingatia MCHANGO WA MWENZAO ANDREW CHENGE KWA TAIFA.....
 
Not gifted skills mkuu mbona mi sijasoma huko lakini nilipata kazi kwenye company kubwa duniani kabla hata sijafika mwaka wa mwisho mkuu,kikubwa ni kuonesha uwezo ulio nao
sikatai mkuu. Ndio maana kuna wengine tunafanya nao huko makazini.
Ila all in all REAL MADRID HAIWEZI KUFANANA NA SIMBA SC
 
Not gifted skills mkuu mbona mi sijasoma huko lakini nilipata kazi kwenye company kubwa duniani kabla hata sijafika mwaka wa mwisho mkuu,kikubwa ni kuonesha uwezo ulio nao
Lakini mbona jamaa kaeleweka? Kuna maneno kayatumia kama "majority" maana yake si wote bali kwa kiasi kikubwa,sasa kama huamini mtafute mtu ambae ana shahada ya havard,na uingie nae kwenye soko la ajira world wide,
Alafu uone nini kitatokea,.wakati mwingine si vizuri kupingana na ukweli,utaumiza roho yako bure.
 
Nadhani kusomea havard univ cyo dili sana cha kujiuliza hapa wAmeifanyia nini tanzania! ? Au maujiko tuu! Wengine wanasomea kule kwa sababu ya michongo tu fulani cyo kwamba ni so extraordinary!
 
aiseeeee babayangu MKUU ROMBO SCHOOL OF JAMIIFORUM masters pale
 
msimsahau hemed phd wa bongo movie alisema anaenda kusoma kati ya havard au stanford...ova
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?

Naogopa wakiwa wengi hii nchi wataanzisha kodi ya hewa, Chenge->Kodi ya simcard, Rada, mhh! Havard ni hatari kwa ustawi wa Tanzania
 
Back
Top Bottom