Watanzania waliosoma Havard

Watanzania waliosoma Havard

The Boss kwa hiyo sisi wa Yale sio chuo bora??!

Aaah......kumbe wewe pia ulipiga Yale..?.... tutafutane bana tukumbushane mambo ya chuo......hivi humu tutakuwa wangapi......?.....
 
Last edited by a moderator:
so far nawajua wawili tu
andrew chenge, na arnold kileo...

Kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
my husband -masters
 
Asante ,majina tutayapata tu...
bora kujaza vichwa hivyo bungeni kuliko kina Lusinde

Nadhani mkuu The Boss kuna haja ya kuwajua, kama na Chenge (Mzee wa vijisenti) amesoma huko!....Hii itatusaidia kupima mchango wao kwa sababu uwezo wa wahitimu wa chuo ni miongoni mwa vigezo muhimu kutathmini ngazi ya ubora wa chuo husika.
 
Last edited by a moderator:
Justinian Rweyemamu

Hawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC.

Somebody Daghar, Orijino Tanga.

Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.
FaizaFoxy

Tuwe wa kweli hatuna pa kumuweka na urasimu wa serekali ya MACCM ni SUMU na mjua yule mtaalamu wa CUMA aliyepo Scandnavia country huko ansema walisomeshwa na Nyerere kuja kuzalisha chuma na makaa ya mawe na madini mengine, wamemaliza shule na wamebobe sasa wamerudi NDC na serekali ya MKAPA waliwapiga chini na kuwadharau na sasa wamerudi hukohuko wanaendlea na maisha.

Ona huyu mbona NASA walimruhusu.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-10-most-intelligent-people-in-the-world.html

3. Kim Ung Yong – 210 IQ


This South Korean has a tremendous capacity for both numbers and languages. He started speaking when he was only six months old. By the time he was three years old, he could read several languages already, including Korean, Japanese, German and English, as well as solve complex calculus problems. He also wrote poetry in Chinese and Korean and compiled enough essays and poems for two books. He was already auditing college courses when he was four. NASA then invited him to study in the U.S. when he was eight. By the time he was a teenager, he was already working for them. He then returned to Korea and switched fields from physics to civil engineering. He then published 90 papers about hydraulics.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani mkuu The Boss kuna haja ya kuwajua, kama na Chenge (Mzee wa vijisenti) amesoma huko!....Hii itatusaidia kupima mchango wao kwa sababu uwezo wa wahitimu wa chuo ni miongoni mwa vigezo muhimu kutathmini ngazi ya ubora wa chuo husika.

Chenge hafanani kabisa
ila Kileo namheshimu mno...ni kichwa cha kweli
 
Back
Top Bottom