Watanzania waliosoma Havard

Watanzania waliosoma Havard

Nadhani thread hizi zingekuwa zinaandikwa kwenye Plain paper basi ingekuwa ni kuharibu karatasi tu. Yaani hakuna zaidi ya UJIKO tu, ni sawa na huko kwetu kuona aliyemaliza UDSM is briliant than mzumbe, SUA, IFM. My friend usifikiri kitaaluma graduate wa Havard ni tofauti sana na graduate wa edinburg, Yale, Alabama, UDSM, Makerere etc. Ni kweli kwa USA na duniani kote kuna vyuo vinabebwa na historia sababu ya ukongwe wake. kwa hiyo futa hiyo dhana yako kuwa aliyesoma Havard anakitu cha ziada kitaaluma than others. We have to get rid frm such idological slevary. ni sawa na zamani ukisikia mtu kaenda ulaya hata kuosha vyombo basi anakuwa Gumzo la Jiji au Kijijini.

THINK BIG!
 
Yes and No
 
Justinian Rweyemamu Hawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC. Somebody Daghar, Orijino Tanga. Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.
Hii ndo JF bhana, tuna kila aina ya watu! Hongera mdada!
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?

Ni best kwenye fan flan flan tu na sio zote sidhan kuwa kusoma pale basi na wewe utakuwa wa ukweli 100% game la kuwa mkali ni akili yako na determination jina la chuo ni mbwembwe tu
 
Nadhani thread hizi zingekuwa zinaandikwa kwenye Plain paper basi ingekuwa ni kuharibu karatasi tu. Yaani hakuna zaidi ya UJIKO tu, ni sawa na huko kwetu kuona aliyemaliza UDSM is briliant than mzumbe, SUA, IFM. My friend usifikiri kitaaluma graduate wa Havard ni tofauti sana na graduate wa edinburg, Yale, Alabama, UDSM, Makerere etc. Ni kweli kwa USA na duniani kote kuna vyuo vinabebwa na historia sababu ya ukongwe wake. kwa hiyo futa hiyo dhana yako kuwa aliyesoma Havard anakitu cha ziada kitaaluma than others. We have to get rid frm such idological slevary. ni sawa na zamani ukisikia mtu kaenda ulaya hata kuosha vyombo basi anakuwa Gumzo la Jiji au Kijijini.

THINK BIG!

Sidhani kama kudharau vyuo ndo lilikuwa lengo la thread,mwenye thread huenda ana maana nyingine zaidi ya hiyo,na hata hivyo ni ukweli usiopingika kwamba huwezi kulinganisha havard na udsm wala makerere. Thats a next level university!
 
Mimi ni member wa MENSA INTERNATIONAL, score yangu ya IQ ilikuwa 172 baada ya kufanya test zao nilipokuwa Chuoni. Binadamu wa IQ za kuanzia 190 and above hao ni moto wa kuhotea mbali - na wakali zaidi ni ORIENTALS i.e Japanese and Chinese!!!
Screenshot_2013-10-11-20-03-43.png Wewe noumer
 
Nadhani thread hizi zingekuwa zinaandikwa kwenye Plain paper basi ingekuwa ni kuharibu karatasi tu. Yaani hakuna zaidi ya UJIKO tu, ni sawa na huko kwetu kuona aliyemaliza UDSM is briliant than mzumbe, SUA, IFM. My friend usifikiri kitaaluma graduate wa Havard ni tofauti sana na graduate wa edinburg, Yale, Alabama, UDSM, Makerere etc. Ni kweli kwa USA na duniani kote kuna vyuo vinabebwa na historia sababu ya ukongwe wake. kwa hiyo futa hiyo dhana yako kuwa aliyesoma Havard anakitu cha ziada kitaaluma than others. We have to get rid frm such idological slevary. ni sawa na zamani ukisikia mtu kaenda ulaya hata kuosha vyombo basi anakuwa Gumzo la Jiji au Kijijini.

THINK BIG!

Mkuu umenena wazee wa kuabudu ulaya hao tuna product toka UDSM but ni engine za project kubwa mpaka wazungu wanakaa chini eg kuna jembe langu ni senior planner wa ABG makao makuu huko toronto ila ni product ya mkandala.Cha msingi umetoka havard unajua vitu??????
 
Nadhani thread hizi zingekuwa zinaandikwa kwenye Plain paper basi ingekuwa ni kuharibu karatasi tu. Yaani hakuna zaidi ya UJIKO tu, ni sawa na huko kwetu kuona aliyemaliza UDSM is briliant than mzumbe, SUA, IFM. My friend usifikiri kitaaluma graduate wa Havard ni tofauti sana na graduate wa edinburg, Yale, Alabama, UDSM, Makerere etc. Ni kweli kwa USA na duniani kote kuna vyuo vinabebwa na historia sababu ya ukongwe wake. kwa hiyo futa hiyo dhana yako kuwa aliyesoma Havard anakitu cha ziada kitaaluma than others. We have to get rid frm such idological slevary. ni sawa na zamani ukisikia mtu kaenda ulaya hata kuosha vyombo basi anakuwa Gumzo la Jiji au Kijijini.

THINK BIG!

Vitu vingine kama hujui ni bora ukae kimya tu kuficha ujinga wako.

Sasa kama ulikuwa hujui Havard ni nini, nikwamba Havard product wote ni successful people in this planet. Hiyo ndiyo sifa kuu ya Havard.
 
Ni best kwenye fan flan flan tu na sio zote sidhan kuwa kusoma pale basi na wewe utakuwa wa ukweli 100% game la kuwa mkali ni akili yako na determination jina la chuo ni mbwembwe tu
Mkuu sikatai mawazo yako. Ni kweli juhudi zako na uwezo wako ndio kigezo bila kujalisha umesomea wapi.
Ila on the flip side, kumbuka Ivy league schools wana-admit best of the very best from all over the world.
Kwa mantiki hiyo utafundishwa na walimu wenye uwezo wa juu sana na utapata knowledge ya hali ya juu.
Proven track record ya vyuo kama Harvard ni pana mnoo.

1.) Jiulize ni kwa nini wapokee grants/research funds in terms of billions of $$$ na chuo kama Kennesaw State au UDSM kisipewe hizo funds?

2.) Kwa nini high profile employers wanaenda kuwasaka wahitimu wa vyuo kama hivi kila semester inapoisha na wasiende kwengine?

3.) Kwa nini majority ya wanaomaliza hivi vyuo hawatafuti kazi bali employers ndio wanawasaka kwa udi na uvumba graduates wao? Top employers wanapiga camp kusaka talent tena with good signing bonus ukikubali ajira!

4.) Ukifanya nao hata kazi makazini kuna elements za creativity na exceptional skills ambazo utaziona na hazijifichi ambazo zinawa-distinguish hawa wahitimu wa vyuo hivi ukilinganisha na wa UDSM

5.) Kwa nini maraisi wengi wa US ama hata PM wa India ni alumni wa Ivy league?

Sisemi kuwa wahitimu wa vyuo vingine ni vilaza. No. Lakini tukubali kuwa majority ya hawa jamaa wa hivi vyuo have gifted skills augmented by exceptional creativity, innovation etc.
Real Madrid haiwezi kufanana na Simba SC ingawa Amri Kiemba anacheza vema kuliko Benzema. Lakini Benzema atakuwa na chati sababu anachechea Madrid
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?

Mkuu wako wengi tu niliosoma nao muhimbili kwa wamefanya masters zao Harvard sina haja ya kuwataja ila nawafahamu kama 6 hivi
 
Justinian Rweyemamu

Hawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC.

Somebody Daghar, Orijino Tanga.

Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.
hata niingekua mimi nsingerudi....kwa hili li nchi lilivo??
 
Back
Top Bottom