Watanzania waliosoma Havard

Watanzania waliosoma Havard

Harvard ina schools nyingi, wapo waliosoma na wanaosoma school ya public health wengi sana nadhani kila mwaka hawapungui sita, na wapo waliobaki kama post doctoral fellows kadhaa, humble guys

WHAT DO YOU WANT TO LEARN FROM THEM?
 
Kama alivyosema Sheriff Arpaio...Harvard kuna baadhi ya wabongo wapo hapo na wengine wamepiga Ila kwa privacy za watu hatupendi kuziingilia au kuzivuruga. Kuna Kijana mmoja ni Daktari(Bio Chem)na wawili ni wachumi.

Kama ndio ambaye na mimi namfahamu proffesional sio daktari ila ana bachelor of science in biochemistry,amefanya research nyingi tu kwenye hospital inayotumiwa na havard kwa medical students wao, na kwa sasa yupo north carolina anafanya phd.
 
Hakika Rostam Aziz na our young billionaire Yusuph Manji ni lazima wawe wamesoma huku maana wanatumia brain kupata fisadiso money na hawafungwi!!!!! Kwikwikwikwi!!
 
Hilderbrand shayo na john mashaka.

Acha unani mkuu, hawa watu mhhhhhhhh!!! Ila inasikitisha Tanzania ina brain sana na watu wa nje wanawachukua tu kirahisi na wanafanya kazi vizuri. Imagine kuna kijana mzuri wa IT alikuwa BOT na sasa yuko IBM na Green Card alishainyaka na familia. So sad the Brain Drain ni kubwa sana kwa Watz. Maisha magumu wakidai maslahi mnawapiga mabomu ni kwa nini wasiondoke tu?
 
Currently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names

Wanasoma ama wanawanga?kwa nini ufiche majina yao?wanasoma kwa pesa haramu?Sababu ya msingi ya kuficha majina yao ni nini mkuu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?

Kuna vijana wawili wa kimasai kutoka kijiji cha Arash Ngorongoro. Mmoja amemaliza udaktari na mwingine mambo ya engineering huko Harvard. Muulize JK maana ndio ka-support hao vijana kusoma huko! Hivi majuzi niliwaona Mandela University Arusha...sijafuatilia wanafanya nini
 
Justinian RweyemamuHawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC.Somebody Daghar, Orijino Tanga.Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.
Na Professor Mwajaha POSSI (sijui kama nimepatia jina la kwanza), FF umenikumbusha Justinian(R.I.P). Je former Prime Minister one Sumaye hajasoma Havard kweli - if my memories servers me right.
 
Huoni kwa faida ya taifa hasa hao waliosoma uchumi tunapaswa kuwafahamu?

Tunawafahamu wengi sana! Bila shaka lengo lako ni jema lakini je "wewe ni "decision maker"? Maana hawa watu wanahitaji kutumiwa vizuri sana kwa faida ya taifa letu lakini pia walipwe vizuri na waepushwe na ubabaishaji serikalini na hata ktk sekta binafsi!

Ndio, wapo! Una lolote la kuwaambia? Kuwasidia?!
 
Aaah......kumbe wewe pia ulipiga Yale..?.... tutafutane bana tukumbushane mambo ya chuo......hivi humu tutakuwa wangapi......?.....
Hahaha,,,.Tupo wengi.....Hahaha Mentor Niropoke au nipige kimya?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom