Watanzania waliosoma Havard

Watanzania waliosoma Havard

Fredrick Sumaye

Sumaye degree yake ni 'magumashi'
kuwa kwake PM ndio sababu kubwa alipata admission...
sidhani kama ange qualify kama angekuwa fresh from high school...
 
Mkuu! I do not mean to be rude but what's purpose of your question/thread? I might missed the point somewhere but still I dont get it. Help me please!



Point hapa ni kujadili je waliosoma vyuo hivi vinavyoitwa
'the best in the world' wana msaada gani kwa taifa?
tunawajua wote?
wanatumika inavyopaswa?
au labda wanatumika nchi zingine kwa uzembe wetu?
 
Halafu pia mtueleze na impacts za kusoma kwao Havard kwenye maendeleo ya nchi.

Nimemtaja Chenga hapo
na kama ukifuatilia thread zangu zote huwa namponda mno Chenge
so sisemi kila aliosoma Harvard anatufaa
ila heshima ya vyuo hivi inatulazimisha tuwa notice na kuwajua
ili tuwachambue na tuwatumie wale wanaotufaa
 
Nimemtaja Chenga hapo
na kama ukifuatilia thread zangu zote huwa namponda mno Chenge
so sisemi kila aliosoma Harvard anatufaa
ila heshima ya vyuo hivi inatulazimisha tuwa notice na kuwajua
ili tuwachambue na tuwatumie wale wanaotufaa

Ni kweli. Lakini Harvard ndio Real Madrid ama NY Yankees of all universities.
 
Mimi ndio kwanza nafanyiwa registration, may be next year i will be one of them. Just wait time will tell.
 
Justinian Rweyemamu

Hawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC.

Somebody Daghar, Orijino Tanga.

Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.
NSA aisee huyu TISS wangemtafuta angewasaidia sana.....
 
Kati ya hao waliotajwa,nani kalisaidia taifa hili????labda Chenge tehe tehe tehe tehe!!!!!!!!!
 
Once again i give my words to this Thread: Studing in Havard is not a Big deal to that much; Kitaaluma hakuna tofauti na vyuo vingi vingine duniani, labda hoja ibaki kuwa ni kati ya vyuo venye historia ya kipekee na maarufu. Like UDSM in TZ ambacho may be for the next 10 or 20 yrs kutakuwa na vyuo bora kama au zaid kitaaluma ila UDSM itabaki kuwa maarufu sababu ya historia yake.


NOTE:
Hata kama Chenge angekuwa muadilifu kiasi gani, ila usidhani kama angekuwa na Jipya saaaaana kuliko
Wanataaluma wetu of the same level.
 
Ili kuhakikisha watanzania wengi wanapata Fursa ya kusoma hivyo vyuo Bora Duniani kama MIT, Serikali inatakiwa ku support, Uki angalia wengi wanao enda kusoma Degree za kwanza ni watoto wa ambao maisha yao mazuri na utakuta wametoka shule kama Tanganyika , Mzizaima ama ISM, na kwa watoto wa maskini wenye uwezo ni ngumu kupata hizo nafasi, mfano hai kuna jamaa nilikua nasoma nae alikua anafanya application MIT kuna kipengele cha kujaza shule uliyosoma, sasa kwa hapa tanzania MIT inazitambua shule za Mzizima na Heaven of Peace hiyo ilikua mwaka 2011.. zingine majanga.... Na kwa watoto wa maskini wao husubili mazali ya kwenda kufanya masters katika vyo kama hivyo kutoka na performance zao
 
List ipo kubwa tu ya marafiki na wengine sema wote si maarufu Tanzania, ni wale wa chini chini na wengine wamepotea hawajarudi. Sio Havard tu, MIT, Princeton, Oxford, Yale.. Hivyo vyuo vina watanzania kama kumi kila mwaka. Na Asia ukienda vyuo bora nao wapo pia wengi tu.. Sema bongo sijui kwa nini hua hawaonekani
 
I wish ningekuwa na mda wa kusoma japo kaPHD ka pili ninge fight had nisome Harvard. Nami nipate airtime jf... ngoja niangalie posibility ya postdoc

ha haa haaaa.... mkuu hata short course yao tu inaweza kukupa heshima JF!
 
Mkuu..
Hivi umejielewa ulichoandika??!?! Au haukuelewa maana ya neno "Gifted Skills" lilivyotumika!!??
Not Gifted Skills and yet "Kikubwa ni kuonyesha uwezo ulio nao" . How can you do that if one doesn't have "Gifted Skills":shocked::A S-confused1: . Sio lazima Upitie Harvard ili Uwe na gifted skills. Unaweza kusoma UDSM au IFM na ukawa msumeno pia (Braniac
).
bado na wewe hujaelewa kumbe, uwezo wa mtu kufanya jambo flan sio kuwa amekuwa gifted mkuu,mi nadhani labda tuanze kudefine neno GIFTED labda tunaweza elewana,wengine wanapata ujuzi wa kufanya vitu kwa kujishughulisha mfano kusoma,kukaa na wataalam husika etc.Swala ni hili ukiwa na umate wa kufahamu kitu flani basi ni lazima utafanya jitihada na hatimaye utakijua,swala ni determination na maamuzi mkuu.Knowledge sio njaa kwamba itakuuma...............................................
 
Back
Top Bottom