Watanzania waliosoma Havard

Watanzania waliosoma Havard

......uzi wa ku-discuss ''watu''badala ya ''issues'', hamna la maana zaidi kupoteza muda tu hapa.

Your stupidity is beyond repair, kusoma Harvard ni ID na unapata heshima popote duniani.. Juzi kwenye tukio la Westgate shopping mall Kenya kuna Dr. aitwae Elif Yavuz ambaye alikua ni Grad. wa Harvard.. Habari nyingi zilizokua zinamuandika zilikua lazima zi-specify kwamba ni msomi wa Harvard tena PhD.. Get a life
 
Currently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names

Mimi pia nawafahamu Twins wawili wakutoka maeneo ya kaskazini mwa nchi yetu wapo hapo Havard school of medicine.
 
najikuta niko curious na uliposomea wewe na ulichosomea
unaonekana kama hii thread inahusu taaluma yako,is it?

Hako katoto nimekasomesha HEKIMA UPLAND ACADEMIC CENTRE ipo Buguruni baadae nikakapeleka Mlimani, ila ni kakichwa dizaini flani.. hahaha..
 
Mimi pia nawafahamu Twins wawili wakutoka maeneo ya kaskazini mwa nchi yetu wapo hapo Havard school of medicine.

Wale tulioambiwa wameenda "mars"... eti JK alikoswakoswa kuingizwa mkenge..
 
Sasa, Mimi Ndo Kwanza Nipo Certificate Of Law Pale UDSM, Nina Maswali Kidogo Hapa! Ni Vigezo Vp Na Procedures Zp Znafuatwa Kuingia Pale Havard Na Pengine Hata Oxfoard? Na Mtanzania Anae Soma Law Nje Nafikiri Atasoma Internation Law, Fikra Zangu Zimeishia Hapo. Sasa Kuna Corze Gani Ya Law Zaid Ya Hiyo Wanakwenda Kusoma? Je? Mara Nyingi Spounser Huwa Ni Nani?maana Serikali Yetu Haitili Mkazo Corze Za Art! Na Mwisho Kwa Miaka Kadhaa Prf. Tundu~lisu, Alikuwa Marekani, Maisha Yake Huko Hayana Uhusiano Na Chuo Hiki? Je, Alikuwa Akifanya Kaz Wapi? Kasomea Wapi Mtu Huyu?
 
Point hapa ni kujadili je waliosoma vyuo hivi vinavyoitwa
'the best in the world' wana msaada gani kwa taifa?
tunawajua wote?
wanatumika inavyopaswa?
au labda wanatumika nchi zingine kwa uzembe wetu?

Mkuu nimekupata sasa, nakushukuru kwa maelezo na ufafanuzi makini! Ahsante.
 
Huoni kwa faida ya taifa hasa hao waliosoma uchumi tunapaswa kuwafahamu?

Nchi hii haithamini wachumi hata wasome wapi; kama unadhani wakisoma Havard ndio watathaminiwa you are dead wrong. Nchi hii wanaothaminiwa ni wale wanaolamba viatu vya mkweree basi !!! Delphin Rwegasira is a Havard economics garaduate wa siku nyingi na ni mwalimu wa Kikwete UDSM amemtumia vipi? You cannot compare Mwinyimvua na Prof. Rwegasira pengine kwa vile Mwinyimvua ni muislam!!!! Kwa wale wanaotaka majina ya waliosoma Harvard hata Kinana na Nyang'anyi Mustapha pia wameattend Havard school of government!!!
 
Rwegasira yuko wapi now?

Kikwete ni mtu wa kupita
sisi kama taifa tunaweza weka utaratibu wa kutambua 'vichwa' ili siku moja
tukipata serikali ya kweli,vitumike
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?

Huko Havard bila shaka wanafundisha ufisadi!!! Elimu wanayotoa haisaidii jamii!!!
 
Rwegasira yuko wapi now?

Kikwete ni mtu wa kupita
sisi kama taifa tunaweza weka utaratibu wa kutambua 'vichwa' ili siku moja
tukipata serikali ya kweli,vitumike

Anafundisha economics graduate students hapo UDSM!!! Inawezekana mkweree anakinyongo nae kwani ni mtu wa visasi, kwani alipokuwa mwanafunzi wake wa quantitatve methods alisupplement second year!!!!
 
Anafundisha economics graduate students hapo UDSM!!! Inawezekana mkweree anakinyongo nae kwani ni mtu wa visasi, kwani alipokuwa mwanafunzi wake wa quantitatve methods alisupplement second year!!!!

itakuwa ndio sababu

some people don't forget
 
Kwa mtazamo wangu hawa watu wamekwenda kusoma Havard au Stanford kwa manufaa yao binafsi isipokuwa kama walipelekwa na Serikali. Hivyo ni jukumu la serikali kutambua umuhimu wao na kuwashirikisha kwenye maswala yanayohusiana na nyanja zao.

Hivyo kutokujulikana au kutokutambulika kwao kunaonyesha jinsi gani serikali yetu ya Tanzania na watumishi wake walivyokuwa wabinafsi na wasio thamini michango ya wasomi katika kufikia maamuzi mbalimbali ya taifa hili.

Na ninaamini kabisa watumishi wa serikali wanatambua kabisa kuwa kwenye maamuzi fulani fulani ingekuwa vizuri kuwashikirikisha wasomi ilikupata mawazo huru yasiyo kuwa na ushawishi wa pande yoyote ile ili kuliletea taifa hili maendeleo.

Mwisho ningependa kusema pia, siyo wote wanaosoma Havard ni vichwa kuna wengine wanalipia kwa gharama yoyote ile ili wapate CHETI cha Havard. Maana kuna tofauti kati ya kuwa na cheti cha Havard na kuendeleza kipawa na ufahamu wa kitu ndani ya Havard.
 
Back
Top Bottom