Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?

Ankel-
Busara ni kipaji pia, kwa hiyo niruhusu kwa kunukuu,
"Japo kwa baadhi ya makosa hayana dhamana, ili mtuhumiwa asitutoroke, tuambiane ukweli, hivi Mbowe anaweza kweli kutoroka nchi na kukimbilia uhamishoni aende kuwa mkimbizi wa kisiasa kama wale waoga wawili?. Kama kwenye kesi za mauaji hakuna dhamana, lakini kesi ya Ditopile aliyekuwa anatetewa na wakili Nimrodi Mkono, Wakili Mkono, alijenga hoja maridhawa, Ditopile akaachiwa kwa dhamana hadi pale Mungu alipoamua kumalizana nae. Hivyo Mbowe anaweza kuachiwa kwa dhamana hata bila dhamana hiyo kuombwa, akawa anakuja kuhudhuria kesi akitokea nyumbani kwake."

Ugaidi is a serious matter. Tuachane na hear say na kwa hiyo from point of law kuwe na admissible evidence na siyo "nonsense" ya KUSHITAKI tu kwa vile madaraka yanalewesha. Busara katika hili haimaanishi compromise but rather, a matter of principle. Tunapinga udhhalimu wa aina yoyote ile, pamoja na udhalimu tunaofanyiwa sisi. Kwa hilo hakuna kupambana nalo kwa double standards, no. Mkuki si kwa nguruwe tu. We only kneel to the ALMIGHTY and definitely not to the ruling powers.
 
Ila Mungu aliye hakimu wa haki atatoa hukumu kama Mbowe siyo gaidi basi wote walioshiriki kutunga huu uongo kwa nia ya kumuangamiza basi hukumu yao iko jirani sana watateseka sana na kama Mbowe kweli ni gaidi basi ahukumiwe kwa ugaidi wake.NIMESEMA!!!

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Usinilishe maneno soma vizuri, unajua maana ya neno kilikukuwa? Siyo huu upuuzi wenu wa wanaharakati.
Mnafki mkubwa wewe, onesha post yako yoyote katika jamvi lolote hapa jamii forum uliyowahi isema vizuri CHADEMA na kusema ni chama kinachotazamiwa na watu kama chama mbadala.
Kama hujawahi basi hutawahi sababu ya ujinga wako LAKINI KIDIZAINI LEO UMEKIRI KWA KINYWA CHAKO.
MNAFKI.
 
Wewe punguani kweli mimi maweza kukiri kwa chama cha wanywa viloba na wehu.
 
Back
Top Bottom