Betoratekha
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 317
- 915
UtakamatwaKwakweli nchi inahitaji maombi makubwa sana wachawi wameanza kuroga watu mchana kweupe mbuzi anakula majani bila aibu,ramli zinapigwa kweupe bila aibu,
Jamani wachawi hawa wakiachiwa na ulozi wao wanaweza kuuwa watu au kudhuru kweupe.
Ni vyema kila mmoja kwa dini yake akaongeza maombi kulishinda hili kundi hatari la wachawi!