B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,279
- 2,733
Mkuu mbona kama,unachuki binafsi na Dada,yeye ametoa maoni yeke wewe umepaniki sana,acha ushambaaAcha upumbavu huu, kwako maisha yamekua bora kwa kudhulumu poor of the poorest, kesho unajifanya ni muumini mkubwa mwenye imani wakati umejaa roho ya kikatili, sijui hizi nyumba za ibada mnafanya nini mle,mchawi mkubwa, wewe unajua Mapigano na mahangaiko ya maisha? Endelea kuishi kwenye hiyo AC,but one day upepo utageuka tu, rambi rambi kwa waliofiwa na ndugu zao waliokwenda ku fight for better life, salute kwao wamekufa in the battleground, Amina