Watangazaji Paul James (PJ) na Gerald Hando watua rasmi E-Fm

Ukiona cha nini mwenzio anawaza atakipata lini almuhimu wapige kazi kama suala la nidhamu wajitambue.
 
Hapo ndipo wanapiga sana bongo fleva maana wao wanasema muziki una ongea zaidi! Wana kipindi kinaitwa Ladha 300 cha saa 9 alasiri!
Maana mi nasikiliza vipindi viwili tu nchi hii xxl ya Clouds fm na Planet Bongo ya East Africa Radio
 
Wamechukua mpini wakatupa majembe, Tena mpini wenyewe ni wamti wa mabua. Unaweza kusema hivyo ni baada ya Gerardi hando pj na mpishi wao kujiunga Rasmi Efm, huku bingwa wa katanga tanga namzungumzia Gardner g habash kurudi clouds
 
Mpishi gani tena kwani upishi ni fani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom