Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
- Thread starter
- #61
Hapo ndipo wanapiga sana bongo fleva maana wao wanasema muziki una ongea zaidi! Wana kipindi kinaitwa Ladha 300 cha saa 9 alasiri!Mkuu mimi na mpira tofauti sana nitake radhi[emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo ya Bongo flava ndio mwakemwake