Watangazaji Paul James (PJ) na Gerald Hando watua rasmi E-Fm

Watangazaji Paul James (PJ) na Gerald Hando watua rasmi E-Fm

Hiki kituo ni hot sasa mjini,nini kirefu cha E ?
 
Sawa, asante kwa taarifa lakini nakushauri ufanye kazi kwa bidii usaidie familia yako, acha kufuatilia maisha ya watu...
Mbona kama umepaniki[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1]
 
Wamehama wamehamishwa au kufukuzwa mwisho wa siku wamepata maisha mbadala.Ila wengi wanasema Clouds haya ukifungulia masafa tofauti na yenyewe kazi huna.Hakuna Uhuru huko.Basi pigeni kazi Efm Ifike zaidi ya pwani.
 
Jamaa wapo fresh na wanajua wanachofanya,nawatakia kazi njema uko EFM wachape kazi kwa bidii na warekebishe mapungufu yao watafika mbali.Maisha popote ili mradi mkono uende kinywani.
 
Kazi za makampuni binafsi hazina adabu..yaani huyu chapombe Hando alivyokuwa akiisifia na kuipigania Clouds sikufikiria kama kuna siku atakuja kutolewa baruti kama paka mwizi
Hahaha..,umenichekesha Sana mkuu, wanasema, you are replaceable, you may love ❤ the company but company doesn't have heart, keep your parachute at handy......kaz zackuajiriwa tunafanya ila Ni dhiki tupu...
 
E-fm iko juu mno kwa sasa. Clouds taratibu inaanza kupotea hewani.
 
msaada wa kifaa cha kuvuta frequency kwenye gari,maana hivi vivitz vya mjapani mwisho 90 havifiki 93.7,siwezi kuwamiss hawa majamaa aisee.ikishindikana ntatafuta kiredio cha battery nakuwa nakiwasha kwenye gari
 
Nenda jukwaa la Technology...kwa ndugu Mkwawa
 
Back
Top Bottom