Kama ingekuwa kweli waliondolewa kisa Performance kwanini Joseph Kusaga aliahirisha safari yake ya Dubai baada ya kusikia taarifa zao kutotaka kusaini mikataba upya? Usizidishe uwongo. Ni hayo tuWala hawakufukuzwa na hawakuondoka kwa hiari yao Mkuu isipokuwa tu Mikataba yao ilifika ukingoni na uongozi ulipofanya perfomance assessment yao ukagundua kuwa they under performed na kuwaambia kuwa hawataongezewa tena mikataba na kuwatakia kila la kheri huko waendako. Nimeshangaa sana na kusikitika kuona kuwa hadi sasa Watu jambo dogo tu hili la kufanya competency ya Clouds FM na E FM linawashinda. Technically E Fm inahitaji miaka mitano ( 5 ) katika field kuja kuanza kuikuta Clouds Fm na hili litafanikiwa tu endapo Clouds Fm nao watalala usingizi ila kwa moto huu ninaouona wa Clouds Fm itawahitaji E Fm kusubiri miaka kama 10 ijayo ndiyo kidogo waje kuwakaribia Clouds Fm. Isipokuwa E Fm wameanza vyema na wakijipanga vyema hasa KIMKAKATI katika masuala ya uboreshaji wao wa vipindi, kujitanua zaidi na kuwa creative naona huko mbeleni watakuja kutisha lakini kwa sasa kusema E Fm itaitisha Clouds Fm kwa kuwapata hao akina PJ, Hando na Abel Onesmo ni kichekesho kwa wenye TAALUMA zetu zilizotukuka za hiyo TASNIA. Nawaheshimu E Fm ila nawapigia salute Clouds Fm na tujifunze kufanya kitu kiitwacho PROFESSIONAL INTELLECTUAL ANALYSIS ili tuwe vizuri pale tunapokuwa tunajenga HOJA na siyo KUHEMKA.
Boss Jo alipopata taarifa hiyo ilibidi aahirishe safari yake ya Dubai lakini hata hivyo hakufua Dafu na iksababisha kipindi cha power breakfast Ruge awepo na Babra na Fredwa peke yaoHaiwezi kuwa kama Clouds ndiyo waliamua kutoendeleza mikataba yao.
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] ntakuwa mteja rasmi wa efm...Baada ya sinto fahamu ya muda mrefu kati ya Clouds media na watangazaji wake walio kuwa wakiendesha kipindi cha power break fast wakisemekana wamekimbia kituo hicho!
Watangazaji Paul James(pj),Gerald hando na Abelonesmo sasa imebainika rasmi wametua kituo cha E-FM 93.7 Dar chenye masafa ya Dares-salaam na pwani lakini kimekuwa moto wa kuotea mbali! Inasemekana watangazaji hao wanakwenda kukipa nguvu kipindi cha radio hiyo cha asubuhi kinacho julikana kama "joto la Asubuhi"
Waswahili wanasema maisha popote!
Kila la kheri Pj na Gerald hando na Abelonesmo.
Nimependa kamsemo kao wanasema "huu mchezo hauhitaji hasira"
View attachment 335974
Mimi long time ni mteja wao clouds sisikilizi tena[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] ntakuwa mteja rasmi wa efm...
Chonde....majizo usmpokee kibonde
Only pb... SASa km majamaa wamesepa hata pb wamenikosaMimi long time ni mteja wao clouds sisikilizi tena
App gani wangu, nami nipate uhondo?
Wape hi bk, kashai NHC ndo kwetu
Boss Jo alipopata taarifa hiyo ilibidi aahirishe safari yake ya Dubai lakini hata hivyo hakufua Dafu na iksababisha kipindi cha power breakfast Ruge awepo na Babra na Fredwa peke yao
Kama usajili wa yangu na simba[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]![]()
Kama unavyowaona tayari wapo katika kipindi.
Kama usajili wa yanga na simba[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Na bado ni kaperaDuhh Hando ni Chapombe!
Duhhh ama kweli, kazi ipo!Na bado ni kapera
Kama umekuwa ukiwasikiliza basi huto doubt utendaji wao kazi...
Ingekua sio habari ungecomment?Wanaume wa Dar bana,eti hii nayo ni habari