So what?clouds wanalipa pesa nyingi kuliko vituo vyote tanzania
Antena[emoji15]Ni Dsm na maeneo machache ya Pwani, hata kanda ya Kaskazi hatuisikii, wana kazi kubwa ya kufunga Antena nchi nzima kana Clouds
Usijali hao ndio wanaume wa dsm kakaSawa, asante kwa taarifa lakini nakushauri ufanye kazi kwa bidii usaidie familia yako, acha kufuatilia maisha ya watu...
Sawakusema ukwel hii E. fm wanaonyesha mapinduz halisi katika radio hawa jamaa wanaju
Ni Dsm na maeneo machache ya Pwani, hata kanda ya Kaskazi hatuisikii, wana kazi kubwa ya kufunga Antena nchi nzima kana Clouds
Watazunguka wee baadaye watarudi tena kulekule walikotoka,kama mwenzao![]()
Kama unavyowaona tayari wapo katika kipindi.
Mkuu kweli nimewagumia hawa jamaa mida hii ya nne kasoro aisee ni moto wa kuotea mbali kuna mtu anaitwa R-dj kwa chee(mda wetu wewe) yaani hata huko East Africa na Clouds hamna kitu zote kuntu.Cha mpoki ni saa 10!
Wana vipindi vingi vizuri tuu..
Wako vizuri sana na ukitaka visingeli ni saa mbili jioni kila siku..Mkuu kweli nimewagumia hawa jamaa mida hii ya nne kasoro aisee ni moto wa kuotea mbali kuna mtu anaitwa R-dj kwa chee(mda wetu wewe) yaani hata huko East Africa na Clouds hamna kitu zote kuntu.
Mikataba Yao iliisha!Taarifa za kiitelejensia zinabainisha walisimamishwa kwa nidhamu mbovu kabla ya kutupiwa virago..ila wenyewe wanasema wamehama
App gani wangu, nami nipate uhondo?Me nipo Bukoba ila naipata kupitia azam tv. Nikitembea natumia tune Inn app kuipata pia.
Wamehama wenywe n waligoma kujaza mikataba mipya uku msikia ruge alivyokuwa ana wewesekaTaarifa za kiitelejensia zinabainisha walisimamishwa kwa nidhamu mbovu kabla ya kutupiwa virago..ila wenyewe wanasema wamehama
So what?