Watangazaji Paul James (PJ) na Gerald Hando watua rasmi E-Fm

Watangazaji Paul James (PJ) na Gerald Hando watua rasmi E-Fm

PJ namkubali sana kwenye usomaji wake wa magazeti.

Gerald na Barbra walikuwa wanaendana vizuri sana. Ila naona kama Fredoire walikuwa wanamnyanyapaa fulani kwa vile katolea bara...
Hata sasa Fredoire na Barbra kama hawajaendana vizuri na Barbra anakuwa anamyoa nishai mwenzie kiaina.

Ila Fredoire anakwenda vizuri sana na Bonge

Ila kwa ujumla Clouds inabidi wapunguze matangazo kwa maana stori zinakuwa zinavurugika.

Power Breakfast on Saturday ndiyo imekuwa kipindi changu pendwa
 
Watu wa Dar,yaani uwzo wenu wa kufikiri mdogo kweli.
Sasa hii nayo kiki,
Hizi redio mnafanya kama vile vikundi vya mipasho tu kwa sasa.
Redio zenyewe za Mchangani,halafu mnatafuta kiki humu.
Vijana wa jiji la Dar mnakazi kweli,hahaha,habari inachekesha kweli aisee.
Meya unakazi saana kwa vijana wa Jiji lako na ndio watakaokuangusha.


Haya nisiwaharibieni Pozi,endeleeni ila mjue ni uzembe wa fikra na kupoteza muda
 
Back
Top Bottom