Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
Baada ya sinto fahamu ya muda mrefu kati ya Clouds media na watangazaji wake walio kuwa wakiendesha kipindi cha power break fast wakisemekana wamekimbia kituo hicho.
Watangazaji Paul James(pj),Gerald hando na Abelonesmo sasa imebainika rasmi wametua kituo cha E-FM 93.7 Dar chenye masafa ya Dares-salaam na pwani lakini kimekuwa moto wa kuotea mbali! Inasemekana watangazaji hao wanakwenda kukipa nguvu kipindi cha radio hiyo cha asubuhi kinacho julikana kama "joto la Asubuhi"
Waswahili wanasema maisha popote!
Kila la kheri Pj na Gerald hando na Abelonesmo.
Nimependa kamsemo kao wanasema "huu mchezo hauhitaji hasira"