Watangazaji Paul James (PJ) na Gerald Hando watua rasmi E-Fm

Watangazaji Paul James (PJ) na Gerald Hando watua rasmi E-Fm

possibly mtoa mada ni mmoja wao kati ya waliotumbuliwa "clouds"/ over...!
 
Bingwa wa katanga tanga ndo nini? unaandika kwa haraka haraka kama mwoga nje.
 
Mtoa Mada hajatumbuliwa na Hana mpango wa kutumbuliwa. I spokuwa waliotoka wanakerwa na kitendo cha clouds kutaka Kuabudiwa na wasanii
 
clouds wanalipa pesa nyingi kuliko vituo vyote tanzania
 
Haiwezi kuwa kama Clouds ndiyo waliamua kutoendeleza mikataba yao.
 
Nakipenda kipindi kinaitwa ladha 3000 cha baada ya Dina kifupi ila kinavutia sana.I mean huko efm
 
Itakuwa hiyo ebony sie huku kanda ya nyonyo hatuipati
Ni Dsm na maeneo machache ya Pwani, hata kanda ya Kaskazi hatuisikii, wana kazi kubwa ya kufunga Antena nchi nzima kana Clouds
 
Back
Top Bottom