Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
Kwani repair ya computer wanafanya developer wa nini?Developer mpaka aingie YouTube, kitu ambacho wewe unaweza kufanya
Kwani repair ya computer wanafanya developer wa nini?Developer mpaka aingie YouTube, kitu ambacho wewe unaweza kufanya
We nawe IT wa Bongo tu, hata comments zako zinaonesha... ni IT wa BongoHawajalipia ssl ndo maana iko hivyo nachojua japokua mim sio mtaalamu wa IT
wewe nawe ulienda kwa watu ambao hawaeleweki, au tuseme labda ulitaka upate cha juu?, au hukufatilia background yao vizuri?, au ulitaka unafuu wa bei? maswali yanaweza kuwa mengi na nisipate jibu la uhakika ila nachoweza kusema hukufanya homework yako vizuri, kwa kitu ambacho umetaja wapo waTZ wengi sana ambao wangeweza kuitengeneza kwa ufanisi kabisaNaandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.
Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.
Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.
Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.
Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.
Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.
100% disappointed.
Kwani imeshahamia kwa Watanzania wote toka kwa ma IT wa Bongo?
Baadhi ya IT individual or Companies Tanzania wanachafua wengine, among wateja wetu , tuna clients 8 ambao tuliwapata from same cases,Ndo ivo. Bila hao vijana nilishapigwa mana salishakula part ya hela. Napanga kuwafungulia kesi soon.
Duh, huu uchawi aliwaroga nani boss? Regulations hazijawahi kuwa kitu kizuri kwa mwenye akili timamu.Tunaitaj bodi ya ma it kuregulate behavior of all it individuals and companies toward clients.
Utasikia hauwezi kugusa kazi yoyote ya networking bila certificate ya CISCO.Duh, huu uchawi aliwaroga nani boss? Regulations hazijawahi kuwa kitu kizuri kwa mwenye akili timamu.
Achana na regulations hazijawahi kuwa dawa!
Kwa kweli ni ilitakiwa iwe hivyoUtasikia hauwezi kugusa kazi yoyote ya networking bila certificate ya CISCO.
Certification wengine wanazo lakini hata hawazitumii na walisha sahau zamani imebaki jina tu. Kwenye technology mimi nadhani project ndio kila kitu. Kwasababu ukifanya project utakutana na changamoto nyingi na ukizi-solve unakua umepata experience kubwa.Kwa kweli ni ilitakiwa iwe hivyo
Huko kulikotoka hizi fani za IT au fani yoyote, tena ni iwe kazi ya kujiajiri, hivo vitu vinafuatiliwa sana
Hata kama una Degree au Masters ya IT related qualification.
Hizi Certification ndio zinaokana kuwa umeiva.............na zaidi kama unatafuta kazi na mara nyingi zinakuwa zinafadhiliwa na makazini, halafu baade mtu anaamua kujiajiri......
Huyu jamaa anafurahisha forum tu, haingii akilini kampuni utoe kazi usifatilie mwaka mzima, huyu hajielewi hata kidogo na kama ana kampuni au ni mwajiliwa basi kampuni yake nayo uchwara tu.Baadhi ya IT individual or Companies Tanzania wanachafua wengine, among wateja wetu , tuna clients 8 ambao tuliwapata from same cases,
Tunaitaj bodi ya ma it kuregulate behavior of all it individuals and companies toward clients.
Tungependa kutoa 50% OFF to redesign and start the project here at Zepson Technologies.
Just google Zepson Technologies or call +255752771650
Mkuu kwanza kama wewe sio developer unawezaje kujua hao unaowasifia wamedesign, pili siku hizi watu hawadesign kila kitu, kuna frameworks na libraries zinatumika. Pia kuna APIs. Kama ulitaka tracking software sidhani na sina sababu ya kuamini hao vijana unaowasifu kama wame design maps pia from scratch. Kukopi kodi ni rahisi ila kuzi paste na zikafanya kazi ni shughuli pevu. Kwa kifupi ni kuwa kuandika kodi ni rahisi kuliko kuziedit. Na kama unaona developer anaandika codes zisizohitaj debugging extensively unue huyo hajaiva kiasi kinachotakiwa.Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.
Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.
Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.
Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.
Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.
Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.
100% disappointed.
Tanzania siyo kwenye IT tu, ni uharo na ushuzi kila mahali, kila utapogusa pananuka.Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.
Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.
Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.
Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.
Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.
Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.
100% disappointed.
Na wewe kazi unazofanya kwa wengine unazifanya hivyo hivyo Kitanzania?Tanzania siyo kweye IT tu, ni uharo na ushuzi kila mahali, kila utapogusa pananuka.
Niliacha kabisa kutegemea Watanzania kwa kazi yoyote ile, haya muosha byombo kama hujavikagua utakuta bado vimeganda mafuta.
We have zero quality in Tanzania, usidanganyike na nguo za mtumba tunazovaa na porojo tunazopiga ukatuona ni wa maana sana. Bado tupo karne moja na nusu nyuma kulinganisha na nchi zilizoendelea.
Sifanyi kazi kwa mtu.Na wewe kazi unazofanya kwa wengine unazifanya hivyo hivyo Kitanzania?
Labda ungetumia neno baadhi ya IT sio wote Tanzania maana watu wazuri wapo na matapeli pia wapoNaandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.
Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.
Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.
Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.
Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.
Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.
100% disappointed.
Hata kama haufanyi kazi kwa mtu, si unafanya kazi na Watanzania ili kujipatia kipato? Ndio nauliza hizo shughuli unazofanya na wewe unafanya kwa kulipua lipua pia with "zero quality"?Sifanyi kazi kwa mtu.