Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
wewe nawe ulienda kwa watu ambao hawaeleweki, au tuseme labda ulitaka upate cha juu?, au hukufatilia background yao vizuri?, au ulitaka unafuu wa bei? maswali yanaweza kuwa mengi na nisipate jibu la uhakika ila nachoweza kusema hukufanya homework yako vizuri, kwa kitu ambacho umetaja wapo waTZ wengi sana ambao wangeweza kuitengeneza kwa ufanisi kabisa
 
guzman_ Ni sawa tukisema IT wote wa US na China ni zero sababu hao jamaa zako wamesoma huko?

Umesema unataka kujua sylabus zao za vyuo, vyuo walivyosoma US na China hao IT wako au vyuo wanavyosoma IT wa bongo ambao hujawatumia?

Naona tatizo kubwa zaidi lipo kwako kuliko hata kwa hao developers, wewe project ya wk 2 inachukua mwaka mzima na wewe unakubali tu? Hufuatilii maendeleo ya project hadi unapewa final product kama sio uzwazwa ni nini? Tukisema project managers wote wa bongo ni zero tutakua tumekosea?
 
Mi nazani tatizo liko kwako, Kama uliwapa kazi na wakakabizi kazi suala la imefanyikaje halikuhusu, code nyingi zipo katika mtindo wa library au frameworks, kutudanganya wamecodebkila kitu from scratch sijui umetuinaje, tracking software sidhani kama waliandika maps from scratch. Alichokuzidi mkenya ni kuwa alitaka uhamishie kazi kwake, na kwa mtazamo huo huyo siyo professional kwa maana huwezi kupata kazi kwa kuwachafua wengine. Ukitengenezq gari huwezi kubuni matairi mapya.
 
Ndo ivo. Bila hao vijana nilishapigwa mana salishakula part ya hela. Napanga kuwafungulia kesi soon.
Baadhi ya IT individual or Companies Tanzania wanachafua wengine, among wateja wetu , tuna clients 8 ambao tuliwapata from same cases,

Tunaitaj bodi ya ma it kuregulate behavior of all it individuals and companies toward clients.

Tungependa kutoa 50% OFF to redesign and start the project here at Zepson Technologies.

Just google Zepson Technologies or call +255752771650
 
Duh, huu uchawi aliwaroga nani boss? Regulations hazijawahi kuwa kitu kizuri kwa mwenye akili timamu.

Achana na regulations hazijawahi kuwa dawa!
 
Utasikia hauwezi kugusa kazi yoyote ya networking bila certificate ya CISCO.
Kwa kweli ni ilitakiwa iwe hivyo
Huko kulikotoka hizi fani za IT au fani yoyote, tena ni iwe kazi ya kujiajiri, hivo vitu vinafuatiliwa sana
Hata kama una Degree au Masters ya IT related qualification.
Hizi Certification ndio zinaokana kuwa umeiva.............na zaidi kama unatafuta kazi na mara nyingi zinakuwa zinafadhiliwa na makazini, halafu baade mtu anaamua kujiajiri......
 
Certification wengine wanazo lakini hata hawazitumii na walisha sahau zamani imebaki jina tu. Kwenye technology mimi nadhani project ndio kila kitu. Kwasababu ukifanya project utakutana na changamoto nyingi na ukizi-solve unakua umepata experience kubwa.
 
Baadhi ya IT individual or Companies Tanzania wanachafua wengine, among wateja wetu , tuna clients 8 ambao tuliwapata from same cases,

Tunaitaj bodi ya ma it kuregulate behavior of all it individuals and companies toward clients.

Tungependa kutoa 50% OFF to redesign and start the project here at Zepson Technologies.

Just google Zepson Technologies or call +255752771650
Huyu jamaa anafurahisha forum tu, haingii akilini kampuni utoe kazi usifatilie mwaka mzima, huyu hajielewi hata kidogo na kama ana kampuni au ni mwajiliwa basi kampuni yake nayo uchwara tu.
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Mkuu kwanza kama wewe sio developer unawezaje kujua hao unaowasifia wamedesign, pili siku hizi watu hawadesign kila kitu, kuna frameworks na libraries zinatumika. Pia kuna APIs. Kama ulitaka tracking software sidhani na sina sababu ya kuamini hao vijana unaowasifu kama wame design maps pia from scratch. Kukopi kodi ni rahisi ila kuzi paste na zikafanya kazi ni shughuli pevu. Kwa kifupi ni kuwa kuandika kodi ni rahisi kuliko kuziedit. Na kama unaona developer anaandika codes zisizohitaj debugging extensively unue huyo hajaiva kiasi kinachotakiwa.
 
Mkuu umetukosea sana, hakuna post huwa nikiiona moyo wangu unakua mweusi tiii kama hii, huwa inanikwaza sana
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Tanzania siyo kwenye IT tu, ni uharo na ushuzi kila mahali, kila utapogusa pananuka.

Niliacha kabisa kutegemea Watanzania kwa kazi yoyote ile, haya muosha byombo kama hujavikagua utakuta bado vimeganda mafuta.

We have zero quality in Tanzania, usidanganyike na nguo za mtumba tunazovaa na porojo tunazopiga ukatuona ni wa maana sana. Bado tupo karne moja na nusu nyuma kulinganisha na nchi zilizoendelea.
 
Tanzania siyo kweye IT tu, ni uharo na ushuzi kila mahali, kila utapogusa pananuka.

Niliacha kabisa kutegemea Watanzania kwa kazi yoyote ile, haya muosha byombo kama hujavikagua utakuta bado vimeganda mafuta.

We have zero quality in Tanzania, usidanganyike na nguo za mtumba tunazovaa na porojo tunazopiga ukatuona ni wa maana sana. Bado tupo karne moja na nusu nyuma kulinganisha na nchi zilizoendelea.
Na wewe kazi unazofanya kwa wengine unazifanya hivyo hivyo Kitanzania?
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Labda ungetumia neno baadhi ya IT sio wote Tanzania maana watu wazuri wapo na matapeli pia wapo
 
66 Reactions
Reply
Back
Top Bottom