Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

Estimate inategemeana na aina na scope ya app yenyewe.

Kama uko Dar tunaweza panga miadi uje ofisini. Rahisi sana kujadili kuliko mtandaoni
Siko Dar mkuu. Ndo mana nilitaka kupata rough estimate hata nikitaka kusafiri nijue naenda kunegotiate kitu kilicho ndani ya uwezo wangu. Nataka tu mtu aniambie roughly bei huanzia 500,000 mpaka 800,000 mfano. Unaweza nijibu DM kama ikiwezekana
 
Naja Inbox kwako. Maana kuna information nina hakika hauwezi kuziweka hapa!
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Tatizo lako mkuu uliingizwa chaka na CV za China mkuu , wapo watanzania wengi tu wanaofanya vizuri tu , ambao wamesoma hapa hapa bongo mkuu
 
Watanzania wako vizuri wapi mkuu. Hawahawa wanaoshindwa kuweka window kwenye PC.
 
Kwanza hapo shida kubwa ni poor communication kati ya client na developer , pili inaonesha iyo system hakufuata system development stage kwasababu kwenye design phane kuna kitu kinaitwa system acquisition strategies ambazo zipo tatu nazo ni customer development ambayo ina building code from scratch , package software na outsourcing kwaiyo right mngekuwa mna wasiliano ivyo vitu ilitakiwa vifanyiwe selection kabla ya system coding haijafanyika.
Ndo mambo yanayoongelewa hapa, Maneno mengi ya makaratasi mkipewa kazi mnaharibu..
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Kiukweli wabongo wengi chenga Sana , af bra bra kibao ,mtu anakwambia natengeneza logo Kwa 60000 , alaf anagoogle logo sample kulingana na biashara yako , bure kabisa
 
Huko nje huwezi wapa hela kama hiyo kwa kazi hiyo tena kampuni.
IT wabongo wapo wanaweza kutengeneza lakini hiyo hela yako hamna atakae
kutengenezea kitu cha maana.
Mkuu unaongelea sana fedha kuwa jamaa alitoa fedha ndogo, lakini jamaa anaongelea competence kuwa wabongo tupo chini!! Sasa kuhusu fedha ni kwa nini unasema ni ndogo? Yaani kuna vifaa vya kununukiwa ambavyo havitoshi hiyo fedha au ni vipi? Dhana ya jamaa ni competence, yaani mfano hao IT wangepewa assignment chuo au field project, wasingefanya hiyo kazi, sababu hawajalipwa? Maana assigment ni sehemu ya somo, unafanya bure. Hiki kigezo kuwa hela ni ndogo kinabase wapi?
 
Back
Top Bottom