Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

Mwaka jana nilipata tenda ya NGO kubwa sana hapa Tz, na aliye ipokea tenda Sis wangu wa hiari.

Ilikuwa ni kazi ya Kutengeneza Barcode system.

Nilifanya ile kazi from the scratch na kui represents kwa Wazungu na walipenda na ikapita. Sasa kimbembe kinakuja baada ya kupata kibali cha kufanya ile kazi maana ilikuwa project ya Mikoa zaidi ya 4.

Ndugu kilicho kuja kutokea, nilifanya kazi ya kwanza yote, then kilicho fatia sikushirikishwa tena, japo wale wa NGO walinipigia simu na kuniagiza niendelee na kazi but kwa upande wa Sis alikaa kimya na kuanza kuniomba soft copy ya kazi. Siku mpa coz nilijua anachotaka fanya. Hakunitafuta mpaka leo hii.

So alitafuta Ma IT wakatembea na code zangu mpaka mwisho.

Na kazi yote ilitoka 77,000,000/=.
Mpaka sasa hajanitafuta na nikimuliza kuhusu malipo ya kazi niliyo ifanya hanipi majibu.

Now nipo kitaaa full stressed sina hata hamu ya Kushika Pc sina hata mia huu ni mwaka unaishia.

Na visa vingi sana ila hiki kimeniuma sanaaa...........!

Vijana tunakutana na Mengi sanaaa sometimes mkiona mtu anachukua uamuzi wa kujinyonga or kujitupa kwa ghorofa kuna mengi sana nyuma ya Pazia.

Nilishafanya kazi nikatengeneza 1.3 billion then nikafukuzwa kama mbwaa na kuambiwa your useless na huna msaada kwenye hii Ofisi na mmarangu mmoja hivi.

Can you handle this situations guys !

Pole sana,wachaga ni jamii ya watu wa hovyo sana huwa sipendi kufanya nao hata urafiki.
 
Nicheki [director@kingosr.tech]
 
Usiseme IT wote ni washenzi. Tatizo la IT nguli wengi nchini wameajiriwa na wako bize sana kwenye majukumu yao. Kuna mmoja tangu akiwa Ilboru alikuwa ni kipanga kwelikweli na pale UDSM akakichafua mno Computer engineering mwaka 2010. Hata kazini yuko wa moto mno. Changamoto yake ni kuwa kaikumbatia tu kazi yake na karidhika na mshahara. Mtu kama huyu ndo ingetakiwa awe mjasiriamali na kusaidia watu ila sio hawa vilaza wengi wanaofungua kampuni kijanja kijanja.
 
Back
Top Bottom