Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Wee jamaa naye ni mpuuzi kama hao jama wa IT hukuwai jua kuwa jamaa zetu wa IT wanajua kufanya upload ya windows tu angalua ungetafuta watu walio soma Computer Science ni watu tofauti na hao wahuni
 
Ni sawa kuniita mpuuzi. Ila IT limetumika kama general. Target ilikuwa programmers. Sio kila Cs anaweza programming. Ni field pia. Ila shida ni pale unajiita programmer then hujui hata simple solution.
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Pole, nicheck PM nikuunganishe na watu wazuri wenye portfolio nzuri na ya kueleweka. Hao wababaishaji wanatia aibu na kuharibu sifa za tasnia kwa Tanzania.
 
So unataka unipe na ww. Tulishamaliza kazi mkuu. Ishu sio portfolio ishu ni ujuzi
 
Nimekuelewa nachosema ikitokea kazi au kuna mtu anahitaji karibu sana mkuu. Coders na programmers wengine hawajui wanachofanya tena wavivu aheri wangesema hatuwezi wangelinda reputations zao.
 
Sawa mkuu. Wewe nitumie nikae nazo na kazi zao kabisa.
 
For average serious developer kujua language zaidi ya 3 ni uongo, but it possible kua na vyeti hata vi nne for single language.
1. I have done Projects with ASP/ASP.Net (with VB.Net and C# as languages)
2. I have done Projects with PHP
3. I have done Project with Node.js/JavaScript
4. I have done Projects with Java EE and Android/Java
5. I have done Projects with Kotlin/Android
6. I have done Projects with C++
7. I have done Projects with Swift/iOS
8. I have done Projects with C
9. I know Python well and I use it for all my Scripting purposes

I hope that is enough to disprove your assumptions. Don't use what you know as absolute benchmark. There are a lot of things that are out of your knowledge circle!
 
Unaelewa maana ya for average?
 
Wewe jamaa wewe ulitafuta cheap labour ndio maana. Mbona kuna kampuni kibao hapo bongo wanatoa program/product bora kabisa. Nafikiri ubahili umewapa kazia hiyo...kuna kampuni hadi za kihindi ziko poa...ungekosa ungeenda kwa wataalamu UDOM, UDMS au DIT wangekuunganisha na watu wa uhakika
UDOM hii hii ambayo database yake ili dukuliwa na password za wanafunzi zikawekwa hapa JF?
 
Yaani ndo nimeamini. Kuna kampuni ilishaingia chaka mil 70 hapa hapa bongo na jamaa alikimbia bada ya kuona jela. Wakianza kuelezea programming humu utafikiri wanataka kutengeneza rocket. Hovyo kabisa
Ma IT wa bongo ni wapiga tunguli tu bora waanze kuvaa HIRIZI TU
 
Yaan we mpompo kweli mm unisumbue kazi ya mil 15 unifanyishe kazi miezi yote hiyo. Ungetoa pesa ya kueleweka ungepata watu wa kueleweka pia
Kama umeshindwa hata kuelewa alicho andika utaweza wapi kuwa IT WA KWELI wapi kasema amewafanyisha kazi miezi yotw hiyo ? Yeye amesema wao ndiyo wakikuwa wanamzungusha
 
Umepeleka kwa It wote Tanzania? Hiyo nguvu ya mass generalization unaitolea wapi?
Acha ubishi kama tako la nyani ,bongo hakuna ma IT wala ushuzi wa ma IT ...ushaidi ni kwamba hata walimu walio wafundisha hao ma IT wao wenyewe hao walimu ukiwapa kazi awawezi nenda vyuo vyote kawatafute hata hao ma professor wajaribu na kazi utabaki ukicheka tu
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
IT za kibongo hamnakitu darasani wanafundishwa kupata As
 
Acha ubishi kama tako la nyani ,bongo hakuna ma IT wala ushuzi wa ma IT ...ushaidi ni kwamba hata walimu walio wafundisha hao ma IT wao wenyewe hao walimu ukiwapa kazi awawezi nenda vyuo vyote kawatafute hata hao ma professor wajaribu na kazi utabaki ukicheka tu
Tushamaliza mada kwa kusema TANZANIA YOTE ZERO REGARDLESS OF YOUR POSITION
 
Acha ubishi kama tako la nyani ,bongo hakuna ma IT wala ushuzi wa ma IT ...ushaidi ni kwamba hata walimu walio wafundisha hao ma IT wao wenyewe hao walimu ukiwapa kazi awawezi nenda vyuo vyote kawatafute hata hao ma professor wajaribu na kazi utabaki ukicheka tu
Sio kwelii.. wengi Sana wanajua jamaa alie design mfumo wa Max Malipo unamjua we lofa?..
 
Acha ubishi kama tako la nyani ,bongo hakuna ma IT wala ushuzi wa ma IT ...ushaidi ni kwamba hata walimu walio wafundisha hao ma IT wao wenyewe hao walimu ukiwapa kazi awawezi nenda vyuo vyote kawatafute hata hao ma professor wajaribu na kazi utabaki ukicheka tu

Sio kweli, OP hakufanya uchunguzi wa hiyo kampuni, I doubt kama hata ali-bother kuangalia kazi walizofanya hao jamaa kabla hajawapa kazi, kakutana na matapeli wamemuingiza mjini anakuja kutukana watu wasiohusika, utapeli uko kila sekta.
 
Back
Top Bottom