Wasomi wa IT Tanzania, utapeli wa mitandao hamuhusiki?

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,515
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari wakuu,

Nimewaza na kiwazua, huko nyuma kabla ya kuwa na wasomi wengi wa IT kulikuwa shwari au sio ndugu zangu..

Utapeli ulikuwa mlango kwa mlango au wa maneno ya moja kwa moja.

Nimejiuliza sana, baada ya hawa wasomi wetu wa IT kuongezeka huko mtaani kuna kitu hakika kaa sawa.

Kuna wizi unafanyika huko kwenye mitandao ambao unaonekana fika waliofanya wizi huo hao wasomi Tena IT.

Hapa sijazungumzia wote ila baadhi yao wanaonekana kuna namna.

Watu wanapigwa matukio ya kimtandao ambayo yanaonekana kabisa huyu au hawa wanaofanya ni wasomi wa IT.

Hivi huu wizi wa kimtandao Hawa wasomi vijana wetu wa IT baadhi yao hawahusiki?

Maana kazi hakuna huko duniani yaani mtaani kumezorota.

Hawa wasomi wetu wao yale maujuzi yao watakuwa wanayafanya nini labda.

Tanzania tumeoshaondoa ujinga Sasa tunazalisha werevu wezi.

Tuchunguze maana hali ni mbaya, watu wanaibiwa sana.

Onyo peke yake halitoshi, Hawa jaamaa wana mbinu mpya Kila siku.

Sio wajinga ni werevu, ndio maana ni wabunifu sana kwenye utapeli...
 
Unazungumza vitu vyankufikirika sana. Hebu leta rejea sahihi kwa kujibu maswali haya matatu ya msingi.
1. Wizi wa mtandaoni nini?
2. Ufahamu wa IT na wizi wa mtandao vina uhusiano gani?
3. IT ni eneo pana sana. Ni eneo lipi linahusika na wizi wa mtandao?
 
Back
Top Bottom