Kati ya walinzi wa Marais waliopata umaarufu fulani nchini ni aliyekuwa Mlinzi wa Hayati Magufuli

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,177
1,827
Mwamba huyu hapa..

Kati ya walinzi wa marais ambao walitokea kuwa na umaarufu fulani hapa TANZANIA ni huyu jamaa.

Tunaweza kusema Jamaa alipendwa na vijana wengi, alitazamika kama Icon huku baadhi ya watu wakitamani japo siku moja wasikie sauti yake.

Kwa kifupi jamaa Alikuwa famous.

Watu wengi walivutiwa zaidi na umakini wake alipokuwa pembeni ya rais, hata lilipozungumzwa neno la kuchekesha yeye hakushikwa na kicheko wala tabasam

Lakini hata ivyo u-serious wake si wakununa wala kukaza sura, appearance yake ilionyesha yuko normal

Huyu ni
mtu aliyeyajua majukumu yake, mara kadhaa alipokuwa pembeni ya rais alipepesa macho yake kushoto na kulia.

Alitazamika ni mtu aliyekula kiapo kisawasawa, ni mtu anayefeel kile anachokifanya, yuko tayari kwa lolote dhidi ya kazi yake.

Nimekusogezea hii baada ya kupita kwenye mtandao wa FACEBOOK na kukutana na machapisho kadhaa ya Jamaaa.

Ndani ya mtandao huo wa FACEBOOK Jamaa anatumia jina la WILFRED MWANGO wakati tukikakaaga kule vijiweni kwetu tunasikia majina kibao tofauti ya huyu jamaa.

Hapa nikagundua Machapisho hayo yamechapiswa mwaka 2012 lakini pia nikabaini kuwa ni mtu aliyekuwa na mwili tokea miaka hiyo yaani anaasili ya mwili "pandikizi la mtu"

Katika machapisho yake alionekana kuwa shabiki wa mwnamuki BOB MARLEY

Lakini pia mwenye maadili na Msiri. Hana wafuatiliaji wengi wala comment nyingi, lakini pia machapisho hayo yaliishia mwaka huo huo 2012.

Jamaa akapotea mtandaoni

Miaka mitatu mbele Yaani mwaka 2015 Jamaa akaonekana pembeni ya Rais Magufuli akiwa na muonekano mdogo yaani nikama alikuwa amepungua mwilii. Na hapo ndipo mara kwa mara akawa anaonekana pembeni ya Rais.

Mwili wake wa asili ukarudi alifanya kazi yake kwa takribani miaka mi5 mpaka MAGUFULI alipopatwa na umauti.

Kwa sasa sijui yupo wapi ila nafikiri walinzi wa viongozi wakubwa sio rahisi uwakute kwenye aina flani ya maisha kama kupiga picha au sehemu tofauti za wazi..

I think wameandaliwa kwa jambo fulani au kazi fulani that's why hatuwezi kujua yuko wapi kwa sasa.

Ila kama ni mzima mwamba aishi maisha marefu

1697178686344.jpg
1697178719443.jpg
 
View attachment 2780683View attachment 2780684
kilichoniumiza kwanini aliruhusu Israel kuchukua roho, uhai na kumchukua kiongozi huyo kama kweli alikua makini na kazi yake?

au siku iyo alisinzia Roho ya mauti ikapita na kiongozi wetu ambae tulimpenda sana...

au uzembe ulikua wa nani kama sio huyo mjamaa?
 
Back
Top Bottom