Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

Pole sana, sisi tuko driving school tayari kuanza kusukuma noah, halafu kila ijumaa unaingiziwa mrahaba wamadini, siumesikia ngosha kasema winwin business yaani 50%/50%
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eddy, you are really a comedian . . !
 
Ukisema mtu ajue kuandika jina la nchi anayoishi, nako ni kujifanya kujua kila kitu?

Elimu yetu Tanzania ni duni, hatukupata msingi mzuri, basi mnapokwenda huko jiendelezeni. Msituletee mbinu za kupiga boxi saa 16 kwa siku.

Eti akipata hela mgongo hausikii tena maumivu. Hata hajui long term effects za kuu stress mgongo. Na nyinyi ndio mnatuletea mpaka furniture zinaitwa ergonomic chairs, kwamba hata kwa kukaa tu unaweza kuumiza mwili kama kiti hakifai. Mtu anakaa nje miaka 20 hayajui haya. Diaspora wa Tanzania bana!
Nahisi unachomwa na kitu chenye ncha Kali.
 
Enough is Enough. Yalikuwa yamelala sasa umeyaamsha. Umeleta giza kwenye mwanga wangu now get this.

Listen dude am not a low life the way you think.Nina hela ya kutosha I work many hours per day na hela yangu ni clean siyo ya ujanja. Am not desperate. If I want I can live comfortable here and soon Al be granted permanent residence here very soon and the process is going on and Al let you know when it comes out.

You are messing with a wrong person dude here in JF. Nimekuvutia subra na pumz nimesema baas now receive the consequences.

Nimekutengea million arubain. NitKutrak na kukutres na nitakupata tu. Nitakuzaba mfululizo wa makofi kwa muda wa dakika mbili na kila kofi ntakulipa laki. Wait for me am coming to fix you up and the impact will be devastating.

An egg laying mammal
[emoji95] [emoji95] [emoji95] [emoji90] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
wages are very high so do the cost of living and a very very high taxation. Rent Copenhagen ni juu sana. There is no specific minimum wages ila Dishwashers na cleaners sanasana ni Danish krone 130-150 kwa saa. Mimi nafanya masaa 16 hawa wananilima 36% tax but it's worth it. Ila naishi mbali na jiji in a shared apartment
Masaa 16 sini full time job hyo.. Unaoshea nyumbani au hotelini?
 
Na matumizi ni Tshs 90,000 kwa siku kwa iyo unakuwa unaishi kwa kujibana mbaya. Kama ilivyo apa bongo wanaofanya kazi za usafi unakuta mtu anachukua Tshs 4000 au 5,000 lakini matumizi yake kwa apa Dar es salaam ni zaidi ya iyo kwa siku
Kama mshahara ni 50 elfu kwa saa pigia kwa masaa 16 anakua na sh. Ngap 800, 000 kata 36%(288000) anabaki na 512000.Toa 90000 ya matumizi=422000 take home
 
Wanasema Indian Sub-Continent.

Sio sub-Indian continent. Na nchi tunazijua, usituwekee orodha, wewe hujui hata region inaitwaje.

Halafu sema inahitaji Masters ili uje." Sio "hili uje."

Kiswahili kuandika hujui, Kiingeeza hujui, utaacha kufanya "shit jobs"? By the way, wanasema shitty jobs, sio "shit jobs."

Diaspora hawa ndio tunaambiwa eti wakisomea nje wakija nyumbani wanapata ajira kirahisi. Wengine hata kuandika sentensi moja ya Kiswahili au Kiingereza hawawezi. Umekaa Ulaya miaka 10, 20 unasema continent Indian sub
Mkuu mbona unafanya personnal attack.. Raisi mwenyewe anakosea vp kwa raia wake.. Mistakes zipo tu
 
Peleka uko ujinga wako, umeambiwa hapa tunaandika essay za maarifa ya jamii?
Unamzodoa jamaa mpk hujistukii na elimu yako ya ualimu wa kuunga unga! Cjui leo umeamkia kweny mataputapu, huu ni pumbavu
Jaribu kuwa na positive image kwa mawazo ya wengine na sio huo wivu wa kithengerema
Kuna watu wanapenda kupata taarifa kutoka kwa huyu bwana lkn umekuwa wa ajabu kila unapopewa nafasi ya kujifunza

Shit! Tanzania lingekuwa dhehebu mi ningebatizwa nihamie dhehebu lingine.
Watz weng ni wajinga with narrow minded brain
Alaf hajielewi kwamba
nikipata zali..nikabebe box hahaha
Yani zali ni kubeba box.. Kweli vijana tumepoteza matumaini
 
Mkuu nitakuja huko bwana

ngoja nikishapewa noah yang na
mkulu ntamwachia mdogo

angu apigiage kazi sijui lini
 
Jamaani hiyo kazi ya kubeba mabox na kuosha vyombo ingekua inalipa kwa maisha ya kule wabongo wasingeipata.Na Kama inalipa kihivyo basi wahusika wekeni mchanganuo hapa ili mtufungue na wengine.
 
Inshu ya Copenhagen DN ni very sensitive, ila nimeona kuna baadhi ya watu humu wanachangia mada kwa kumkosoa mshikaji. Mimi nawaona hawa jamaa wana uwezo Mdogo wa kufikiri kama kimo cha zakayo.
Kama una akili timamu huwezi kumcheka mtu ambaye yupo abroad anabeba box na ameshakuambia elimu yake ni ndogo kwa hiyo huo mpunga unamtosha na anawapiga magepu makubwa tu kwa mkwanja hata wasomi waliokuwepo bongo.
Sasa kama mtu ni darasa la saba abaki bongo kwa kuingiza wastani wa elfu kwa usiku kwa shughuli zifuatazo
*Saidia Fundi
*Awe pusha
*Awe kibarua viwandani
*Awe kuli
*Awe konda
*Awe mpakia mchanga kwenye malori nk.
Kama ubongo wako haupo open minded you will ends with your poverty.
Almost most of public workers ain't expect their salary's for the development this is due to low pay scale. For instance to masters holder who have been employed on public sector his/her basic salary its around 2's millions for engineers. But there helsb loan for undergraduate and scholarship for masters. And all have been provided under the Government of United Republic of Tanzania bado kuna kodi bado kuna hela iende sijui nssf,lapf etc unamkuta anapata take home Tsh 1,300,000 bado ana mzigo wa ndugu wanaomtegemea, hana Nyumba, hana gari, anakopa benki na yeye awe na Nyumba au gari nzuri huku makato ya mshahara yanaongezeka.Unamkuta mtu mwenye masters bongo anashindwa hata na electrical technician ambaye ni field technician kwenye makampuni ya minara yanayo deal na power basic salary Tsh1,200,000 take home 900,000'S bado hajaiba mafuta site kwa usiku hakosi elfu hamsini. So wasomi bongo wanamaisha magumu ila kinachowabeba ni mikopo ya serikali yenye riba nafuu na makato madogo kwa mwezi ndio maana unawakuta wanamagari mazuri Nyumba Kali ila take home siri yake.
So suala la Copenhagen DN kama kweli yupo unyamwezini mwacheni afanye yake. Usimfananishe na wewe kama wewe una bachelor ya art au ualimu na umeridhika na mshahara wa laki sits pole. We we kuja kuendelea mpaka yesu arudi.
 
Back
Top Bottom