Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,559
- 2,540
Kheeee heeee heeeMzuka wanaJF!
Wengi wanakimbilia Ujerumani na Finlend.. ...
Kheeee heeee heeeMzuka wanaJF!
Wengi wanakimbilia Ujerumani na Finlend.. ...
Issue ni kupata solutions sio mitelezo, ..ulaya umekwenda kutafuta binti au maisha? ......unaweza beba box na ukapata binti mkali? .....Mkuu punguza kuwaza mitelezo.. Uoe kibibi kwani mabinti wakali hamna?
Muulize jamaa hapo kama hajapata binti kigoli.. Vp ww kutaka kukomaa na vikongweIssue ni kupata solutions sio mitelezo, ..ulaya umekwenda kutafuta binti au maisha? ......unaweza beba box na ukapata binti mkali? .....
Sasa.kama unalipwa 50,000 kwa saa kwanini usiseme zali.tanzania kuna mtu anayelipwa kwa saa?Alaf hajielewi kwamba
Yani zali ni kubeba box.. Kweli vijana tumepoteza matumaini
Mbona haueleweki.Jamaani hiyo kazi ya kubeba mabox na kuosha vyombo ingekua inalipa kwa maisha ya kule wabongo wasingeipata.Na Kama inalipa kihivyo basi wahusika wekeni mchanganuo hapa ili mtufungue na wengine.
Kama mshahara ni 50 elfu kwa saa pigia kwa masaa 16 anakua na sh. Ngap 800, 000 kata 36%(288000) anabaki na 512000.Toa 90000 ya matumizi=422000 take home
Umeongea ukweli kabisa bongo mtu akiwa na brevis anaona maisha kayapatia,na asilima kubwa ya wasomi hapa Tanzania wana maisha ya kawaidaInshu ya Copenhagen DN ni very sensitive, ila nimeona kuna baadhi ya watu humu wanachangia mada kwa kumkosoa mshikaji. Mimi nawaona hawa jamaa wana uwezo Mdogo wa kufikiri kama kimo cha zakayo.
Kama una akili timamu huwezi kumcheka mtu ambaye yupo abroad anabeba box na ameshakuambia elimu yake ni ndogo kwa hiyo huo mpunga unamtosha na anawapiga magepu makubwa tu kwa mkwanja hata wasomi waliokuwepo bongo.
Sasa kama mtu ni darasa la saba abaki bongo kwa kuingiza wastani wa elfu kwa usiku kwa shughuli zifuatazo
*Saidia Fundi
*Awe pusha
*Awe kibarua viwandani
*Awe kuli
*Awe konda
*Awe mpakia mchanga kwenye malori nk.
Kama ubongo wako haupo open minded you will ends with your poverty.
Almost most of public workers ain't expect their salary's for the development this is due to low pay scale. For instance to masters holder who have been employed on public sector his/her basic salary its around 2's millions for engineers. But there helsb loan for undergraduate and scholarship for masters. And all have been provided under the Government of United Republic of Tanzania bado kuna kodi bado kuna hela iende sijui nssf,lapf etc unamkuta anapata take home Tsh 1,300,000 bado ana mzigo wa ndugu wanaomtegemea, hana Nyumba, hana gari, anakopa benki na yeye awe na Nyumba au gari nzuri huku makato ya mshahara yanaongezeka.Unamkuta mtu mwenye masters bongo anashindwa hata na electrical technician ambaye ni field technician kwenye makampuni ya minara yanayo deal na power basic salary Tsh1,200,000 take home 900,000'S bado hajaiba mafuta site kwa usiku hakosi elfu hamsini. So wasomi bongo wanamaisha magumu ila kinachowabeba ni mikopo ya serikali yenye riba nafuu na makato madogo kwa mwezi ndio maana unawakuta wanamagari mazuri Nyumba Kali ila take home siri yake.
So suala la Copenhagen DN kama kweli yupo unyamwezini mwacheni afanye yake. Usimfananishe na wewe kama wewe una bachelor ya art au ualimu na umeridhika na mshahara wa laki sits pole. We we kuja kuendelea mpaka yesu arudi.
Sio wote kuna watu tunawajua wanakazi nzuri Tu,sifikiri kila mtu anaosha vyombo hukoKuna watu nawajua wako marekani ukisikia unasema haya ndio maisha lakini kazi wanazofanya sasa.
Ata siyaelewi haya maishaUmeongea ukweli kabisa bongo mtu akiwa na brevis anaona maisha kayapatia,na asilima kubwa ya wasomi hapa Tanzania wana maisha ya kawaida
12660000 per monthTake home 422,000x30=?
Unajua sisi watanzania kwa asilimia kubwa ni waoga wa kuthubutu maisha nje ya Tanzania. Yani mtu akilipwa laki tano alafu kaachiwa shamba la urithi analimalima mahindi anajikuta katoboa hana option nyingine na hataki kujua hivi mtu kama mm mwenye elimu hii nchi nyingine wanaishije?Umeongea ukweli kabisa bongo mtu akiwa na brevis anaona maisha kayapatia,na asilima kubwa ya wasomi hapa Tanzania wana maisha ya kawaida
Nilichokigundua wengi wanaopata shida ya kazi za maana ni wale ambao wanaishi marekani kiujanja ujanja.hawana legal documents za kuishi na kufanya kazi.Sio wote kuna watu tunawajua wanakazi nzuri Tu,sifikiri kila mtu anaosha vyombo huko
Ndoto yako ni kubeba box au kuenda ulaya?NYANI NGABU,
Natamani sana nije kubeba box huko USA nimechoka kula vumbi huku bongo Mkuu.
Kiukweli nipo tayari na napenda sana siku moja nitimize ndoto yangu ya kuwa mbeba mabox kama wewe Mkuu.
Tupeane michongo ndugu yangu nami nipate japo hiyo kazi ya kubeba box.
Man mteme uyu mtu ..wee tupe maramani ya kufika apo Denmark au Sweden mkuu ..fanya namna!ariff huyu boya nadhan anifaham vizuri