Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

Mkuu nitakuja huko bwana

ngoja nikishapewa noah yang na
mkulu ntamwachia mdogo

angu apigiage kazi sijui lini
Apigie kazi ipi wakati kila mtu atakuwa na yake tena na mafuta full tank kila wiki (jokes)
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106]
 
Finland ni sehemu nzuri sana, hasa kwa wanaohitaji kuongeza elimu.
 
Yaani Mimi hata kama nalipwa 45k per month sitokimbilia nchi za watu.Huo ni utumwa unakuwa cheap labour unafanya kazi kubwa/ngumu na for long time alafu unalipwa fedha kidogo na makodi ya kishenzi shenzi,full kubaguliwa.Nyie diaspora jaribuni kujifunza kwa cr7
 
  • Thanks
Reactions: apk
Ukisema mtu ajue kuandika jina la nchi anayoishi, nako ni kujifanya kujua kila kitu?

Elimu yetu Tanzania ni duni, hatukupata msingi mzuri, basi mnapokwenda huko jiendelezeni. Msituletee mbinu za kupiga boxi saa 16 kwa siku.

Eti akipata hela mgongo hausikii tena maumivu. Hata hajui long term effects za kuu stress mgongo. Na nyinyi ndio mnatuletea mpaka furniture zinaitwa ergonomic chairs, kwamba hata kwa kukaa tu unaweza kuumiza mwili kama kiti hakifai. Mtu anakaa nje miaka 20 hayajui haya. Diaspora wa Tanzania bana!
Wewe utakuwa mhaya ambao siku zote wanajifanya washomile huku wana roho mbaya na wivu kuliko kawaida. Kinachomuumizi ni hiyo laki nane kwa siku wakati yeye hata laki saba haifiki kwa mwezi, Mhaya si mntu.
 
Mzuka wanaJF!

Kuna wimbi kubwa la wasomi wahamiaji Denmark kuikimbia Denmark. Wamechoka kubeba boksi. Unakuta mtu ana elimu ya juu masters phd lakini anabeba boksi kweli kisaikolojia anaumia.

Wengi wanakimbilia Ujerumani na Finlend. Huko wanapata nafasi ya kusoma unesi angalau wanaona ina hadhi kuliko kazi za usafi. Kama mwezi huu na uliopita wengi naowafaham wameenda Ujerumani na Finlend kufanya entrance examinations ambapo Denmark ni ngumu kwa muamiaji mwenye working permit kupata nafasi iyo. Wengi wao ni masters lakini cha ajabu wanaanza upya kupata digrii ya unesi na wako radhi kufanya hivyo.

KAMA UNAELIMU KUBWA NA KAZI NZURI BONGO INAYOKUINGIZIA ANGALAU 1.8 M USIJE HUKU KUBEBA BOKSI JAPO BOKSI HAPA LINALIPA.
Kanuni yangu ya kwanza ya kuishi ughaibuni ni kwamba usiishi bila vibali vya kuishi na kufanya kazi. Utakuwa mtumwa.

Ukifikia kuishi bila vibali ni bora urudi kusemezana na kina Mkaonda na Magufuli tu.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Yaani Mimi hata kama nalipwa 45k per month sitokimbilia nchi za watu.Huo ni utumwa unakuwa cheap labour unafanya kazi kubwa/ngumu na for long time alafu unalipwa fedha kidogo na makodi ya kishenzi shenzi,full kubaguliwa.Nyie diaspora jaribuni kujifunza kwa cr7
Hao watu wanaofanyiwa hivyo ni watu wasio na vibali vya kuishi na kufanya kazi nchi hizo.

Kuna watu wana vibali vyote, wanafanya kazi za professions zao, wanaongoza global projects na wanalipwa mishahara ya kimataifa.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Usishangae, Masters zenyewe unakuta zinaitwa sijui Diplomatic relation, International sijui nini, Economics .... Hizo unategemea Denmark upate kazi ipi inayoendana na hizi courses ambazo hazijielewi?

Watu wanaopiga masters za kueleweka mfano engineering hasa kwenye computer technology hawabebi maboksi, unakuta wameajiriwa kwenye kampuni au hata vyuoni wanapiga mzigo vizuri tu. Watu wawe wanachagua major vizuri sio kukurupuka tu. Hivi vi major vya mambo ya siasa hivi hupati kazi nchi za watu piga ua, siasa we mbongo ukafanyie nchi ya mtu mwingine toka lini?
 
wages are very high so do the cost of living and a very very high taxation. Rent Copenhagen ni juu sana. There is no specific minimum wages ila Dishwashers na cleaners sanasana ni Danish krone 130-150 kwa saa. Mimi nafanya masaa 16 hawa wananilima 36% tax but it's worth it. Ila naishi mbali na jiji in a shared apartment
Maliza masomo urudi kaka, twahitaji elimu na ulichojifunza huko, ila twakupa tahadhari tu, tutakupa challenge maana nasi twajiweza kielemu, kiubunifu na kiufundi, hivyo jiandae, hakuna favours..
Karibu tena mkuu..
 
Usishangae, Masters zenyewe unakuta zinaitwa sijui Diplomatic relation, International sijui nini, Economics .... Hizo unategemea Denmark upate kazi ipi inayoendana na hizi courses ambazo hazijielewi?

Watu wanaopiga masters za kueleweka mfano engineering hasa kwenye computer technology hawabebi maboksi, unakuta wameajiriwa kwenye kampuni au hata vyuoni wanapiga mzigo vizuri tu. Watu wawe wanachagua major vizuri sio kukurupuka tu. Hivi vi major vya mambo ya siasa hivi hupati kazi nchi za watu piga ua, siasa we mbongo ukafanyie nchi ya mtu mwingine toka lini?
True dat
 
Yaani Mimi hata kama nalipwa 45k per month sitokimbilia nchi za watu.Huo ni utumwa unakuwa cheap labour unafanya kazi kubwa/ngumu na for long time alafu unalipwa fedha kidogo na makodi ya kishenzi shenzi,full kubaguliwa.Nyie diaspora jaribuni kujifunza kwa cr7
bado unasoma eeeh?
 
Kama mshahara ni 50 elfu kwa saa pigia kwa masaa 16 anakua na sh. Ngap 800, 000 kata 36%(288000) anabaki na 512000.Toa 90000 ya matumizi=422000 take home
Ah ah huyu Jamaa umeambiwa anakaa shared apartment hujaweka kodi,heating cost,ela ya usafi nauli ukute anakaa MWANZA kazi dar,mwisho wa siku unaweza kuta anabaki na 50,000 kwa Siku..all in all kama huna cha kufuata bongo ni kuzuri mi nilienda tembelea MTU uholanzi miezi 6 huoni Jirani AF case za watu kujirusha kwe trams kibao...
 
Back
Top Bottom