Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

Msamehe bure mkuu,si wote waliokwenda ng'ambo miaka hiyo walikuwa wana elimu ya kutosha,wengine walienda huko wakiwa na elimu ya darasa la saba au form four ile ya mikikimikiki na walipofika huko walianza moja kwa moja na "shit jobs".

Ni kweli kabisa.

Lakini si hao diaspora wa darasa la saba peke yake ambao ni useless kwa Taifa.

Hata wataalam ambao huwa wanaletwa nchini na kuingizwa kwenye kazi maalum kwa hati ya dharura, huwa hawasaidii chochote.

You want me to go down the laundry list?
 
50,0000tshs ×16 hours= 800, 000 tshs per day..

800,000 per day of 16 working hours×30 days= 24,000,000.

Sasa kwa mwezi unaingiza 24 milioni za bongo, kama mkurugenzi wa shirika la umma hapa bongo, tena kubwa la enzi la kikwete.

.

Nadhani anamaanisha masaa 16 kwa week. masaa 16 per day. sidhani hata kwaye Manazi concentration camp iliruhusiwa.
 
. Umekaa Ulaya miaka 10, 20 unasema continent Indian sub
DERNMARK wanaongea kiingereza au wivu tu mpaka povu linakutoka yoote yanatokea wapi ni kiasi cha kuchambua tu makosa yake ukabainisha
halafu ukae ukijua kingereza kuna kuongea na kuandika mtu anaweza kuzungumza vizuri kiingereza lakini akashindwa kuandika hayo maneno anayoyatamka
 
Kuna sehemu inaitwa helfolge hapo kuna jamaa mmoja ana yard anakusanya vitu used nlionaga mbongo ana másters lkn anapanga mafriji na vitu used nkamwambiaga ajichange aje awekeze home tu

Ova
Mzuka wanaJF!

Kuna wimbi kubwa la wasomi wahamiaji Denmark kuikimbia Denmark. Wamechoka kubeba boksi. Unakuta mtu ana elimu ya juu masters phd lakini anabeba boksi kweli kisaikolojia anaumia.

Wengi wanakimbilia Ujerumani na Finlend. Huko wanapata nafasi ya kusoma unesi angalau wanaona ina hadhi kuliko kazi za usafi. Kama mwezi huu na uliopita wengi naowafaham wameenda Ujerumani na Finlend kufanya entrance examinations ambapo Denmark ni ngumu kwa muamiaji mwenye working permit kupata nafasi iyo. Wengi wao ni masters lakini cha ajabu wanaanza upya kupata digrii ya unesi na wako radhi kufanya hivyo.

KAMA UNAELIMU KUBWA NA KAZI NZURI BONGO INAYOKUINGIZIA ANGALAU 1.8 M USIJE HUKU KUBEBA BOKSI JAPO BOKSI HAPA LINALIPA.
 
Piga kazi jombaa, kama kuna connection we tupe na sisi tuje tujimwae huko, bongo ajira zenyewe hakuna
 
DERNMARK wanaongea kiingereza au wivu tu mpaka povu linakutoka yoote yanatokea wapi ni kiasi cha kuchambua tu makosa yake ukabainisha
halafu ukae ukijua kingereza kuna kuongea na kuandika mtu anaweza kuzungumza vizuri kiingereza lakini akashindwa kuandika hayo maneno anayoyatamka

Kwanza, hakuna nchi inayoitwa DERNMARK.

Hamuwezi hata kuandika jina la nchi mnazoishi. Diaspora nakwambia, you are so useless. Tanzania ni nchi ambayo kila tafiti inaonyesha haifaidiki na uhamiaji.

Halafu ndio useme nakuonea wivu. Miaka kumi, ishirini ughaibuni hata kuandika Kiswahili huwezi, jina la nchi uliopo huwezi kuandika, naanza-anzaje kukuonea wivu?
 
Mzuka wanaJF!

Kuna wimbi kubwa la wasomi wahamiaji Denmark kuikimbia Denmark. Wamechoka kubeba boksi. Unakuta mtu ana elimu ya juu masters phd lakini anabeba boksi kweli kisaikolojia anaumia.

Wengi wanakimbilia Ujerumani na Finlend. Huko wanapata nafasi ya kusoma unesi angalau wanaona ina hadhi kuliko kazi za usafi. Kama mwezi huu na uliopita wengi naowafaham wameenda Ujerumani na Finlend kufanya entrance examinations ambapo Denmark ni ngumu kwa muamiaji mwenye working permit kupata nafasi iyo. Wengi wao ni masters lakini cha ajabu wanaanza upya kupata digrii ya unesi na wako radhi kufanya hivyo.

KAMA UNAELIMU KUBWA NA KAZI NZURI BONGO INAYOKUINGIZIA ANGALAU 1.8 M USIJE HUKU KUBEBA BOKSI JAPO BOKSI HAPA LINALIPA.
Mkuu nahitaji kuja huko kubeba boksi.
Nipe utaratibu
 
me naitafuta iyo nafasi yakuja kubeba mabox hapa mambo hayaendi kabisaaaaa mwaka wa 4 niko nyumbani na degree yangu
 
Mkuu Copenhagen DN umenichana mbavu zangu kwenye hao wasomi wanao beba box huku wakilaaani na kusonya "This is a shity job" huku wakiendelea Kupiga box.
 
Na matumizi ni Tshs 90,000 kwa siku kwa iyo unakuwa unaishi kwa kujibana mbaya. Kama ilivyo apa bongo wanaofanya kazi za usafi unakuta mtu anachukua Tshs 4000 au 5,000 lakini matumizi yake kwa apa Dar es salaam ni zaidi ya iyo kwa siku
mkuu mimi nafanya cleaning na restaurant job. Restaurant tunakat
Wanasema Indian Sub-Continent.

Sio sub-Indian continent. Na nchi tunazijua, usituwekee orodha, wewe hujui hata region inaitwaje.

Halafu sema inahitaji Masters ili uje." Sio "hili uje."

Kiswahili kuandika hujui, Kiingeeza hujui, utaacha kufanya "shit jobs"? By the way, wanasema shitty jobs, sio "shit jobs."

Diaspora hawa ndio tunaambiwa eti wakisomea nje wakija nyumbani wanapata ajira kirahisi. Wengine hata kuandika sentensi moja ya Kiswahili au Kiingereza hawawezi. Umekaa Ulaya miaka 10, 20 unasema continent Indian sub
mkuu elimu yangu ndogo sana ndio maana sioni aibu kufagia. Ila nashukuru kwa darsa nimejifunza. Ila ulivyonijibu insonekana unamashindano flan hivi. Pamoja bro
 
Wengi wanakimbilia Ujerumani na Finlend. Huko wanapata nafasi ya kusoma unesi angalau wanaona ina hadhi kuliko kazi za usafi. Kama mwezi huu na uliopita wengi naowafaham wameenda Ujerumani na Finlend kufanya entrance examinations ambapo Denmark ni ngumu kwa muamiaji mwenye working permit kupata nafasi iyo. Wengi wao ni masters lakini cha ajabu wanaanza upya kupata digrii ya unesi na wako radhi kufanya hivyo.

KAMA UNAELIMU KUBWA NA KAZI NZURI BONGO INAYOKUINGIZIA ANGALAU 1.8 M USIJE HUKU KUBEBA BOKSI JAPO BOKSI HAPA LINALIPA.

Sema Finland.

Unarudia rudia Finlend... Finlend... Finlend...

Unaishije Scandinavia miaka thelathini hujui kuandika Finland?

Unajazaje fomu ya maombi ya kazi? Nyie diaspora vipi nyie? Ndio mnasema mpewe uraia pacha msaidie kufanya nini? Ku invest?
 
Back
Top Bottom