Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

Sema Finland.

Unarudia rudia kuandika Finlend... Finlend... Finlend...

Unaishije Scandinavia miaka thelathini hujui kuandika Finland?

Unajaze fomu ya maombi ya kazi? Nyie diaspora vipi nyie? Ndio mnasema mpewe uraia pacha msaidie kufanya nini? Ku invest?
Enough is Enough. Yalikuwa yamelala sasa umeyaamsha. Umeleta giza kwenye mwanga wangu now get this.

Listen dude am not a low life the way you think.Nina hela ya kutosha I work many hours per day na hela yangu ni clean siyo ya ujanja. Am not desperate. If I want I can live comfortable here and soon Al be granted permanent residence here very soon and the process is going on and Al let you know when it comes out.

You are messing with a wrong person dude here in JF. Nimekuvutia subra na pumz nimesema baas now receive the consequences.

Nimekutengea million arubain. NitKutrak na kukutres na nitakupata tu. Nitakuzaba mfululizo wa makofi kwa muda wa dakika mbili na kila kofi ntakulipa laki. Wait for me am coming to fix you up and the impact will be devastating.

An egg laying mammal
 
Mzuka wanaJF!

Kuna wimbi kubwa la wasomi wahamiaji Denmark kuikimbia Denmark. Wamechoka kubeba boksi. Unakuta mtu ana elimu ya juu masters phd lakini anabeba boksi kweli kisaikolojia anaumia.

Wengi wanakimbilia Ujerumani na Finlend. Huko wanapata nafasi ya kusoma unesi angalau wanaona ina hadhi kuliko kazi za usafi. Kama mwezi huu na uliopita wengi naowafaham wameenda Ujerumani na Finlend kufanya entrance examinations ambapo Denmark ni ngumu kwa muamiaji mwenye working permit kupata nafasi iyo. Wengi wao ni masters lakini cha ajabu wanaanza upya kupata digrii ya unesi na wako radhi kufanya hivyo.

KAMA UNAELIMU KUBWA NA KAZI NZURI BONGO INAYOKUINGIZIA ANGALAU 1.8 M USIJE HUKU KUBEBA BOKSI JAPO BOKSI HAPA LINALIPA.

Hayo maboksi waNayobeba ndani yanakuwa na Wadenimaki?
 
Enough is Enough. Yalikuwa yamelala sasa umeyaamsha. Umeleta giza kwenye mwanga wangu now get this.

Listen dude am not a low life the way you think.Nina hela ya kutosha I work many hours per day na hela yangu ni clean siyo ya ujanja. Am not desperate. If I want I can live comfortable here and soon Al be granted permanent residence here very soon and the process is going on and Al let you know when it comes out.

You are messing with a wrong person dude here in JF. Nimekuvutia subra na pumz nimesema baas now receive the consequences.

Nimekutengea million arubain. NitKutrak na kukutres na nitakupata tu. Nitakuzaba mfululizo wa makofi kwa muda wa dakika mbili na kila kofi ntakulipa laki. Wait for me am coming to fix you up and the impact will be devastating.

An egg laying mammal
Hahaha chalii ya r hii biti nimeikubali
 
Wanasema Indian Sub-Continent.

Sio sub-Indian continent. Na nchi tunazijua, usituwekee orodha, wewe hujui hata region inaitwaje.

Halafu sema inahitaji Masters ili uje." Sio "hili uje."

Kiswahili kuandika hujui, Kiingeeza hujui, utaacha kufanya "shit jobs"? By the way, wanasema shitty jobs, sio "shit jobs."

Diaspora hawa ndio tunaambiwa eti wakisomea nje wakija nyumbani wanapata ajira kirahisi. Wengine hata kuandika sentensi moja ya Kiswahili au Kiingereza hawawezi. Umekaa Ulaya miaka 10, 20 unasema continent Indian sub
My Tanzania, nchi iliyojaa Makinikia, faru john na Faru Fausta
John:nilipitia Golden Crest kupata lunch
Sam; mi huko nimekula sana enzi hizo,mpk wahudumu wote wananijua na hotel za zote Kali za DSM nimetembelea.
 
Sema Finland.

Unarudia rudia kuandika Finlend... Finlend... Finlend...

Unaishije Scandinavia miaka thelathini hujui kuandika Finland?

Unajaze fomu ya maombi ya kazi? Nyie diaspora vipi nyie? Ndio mnasema mpewe uraia pacha msaidie kufanya nini? Ku invest?
Kiongozi wewe ni mwalimu wa kiswahili.maana marekebisho yako si ya nchi hii.
 
Sema Finland.

Unarudia rudia kuandika Finlend... Finlend... Finlend...

Unaishije Scandinavia miaka thelathini hujui kuandika Finland?

Unajaze fomu ya maombi ya kazi? Nyie diaspora vipi nyie? Ndio mnasema mpewe uraia pacha msaidie kufanya nini? Ku invest?
Peleka uko ujinga wako, umeambiwa hapa tunaandika essay za maarifa ya jamii?
Unamzodoa jamaa mpk hujistukii na elimu yako ya ualimu wa kuunga unga! Cjui leo umeamkia kweny mataputapu, huu ni pumbavu
Jaribu kuwa na positive image kwa mawazo ya wengine na sio huo wivu wa kithengerema
Kuna watu wanapenda kupata taarifa kutoka kwa huyu bwana lkn umekuwa wa ajabu kila unapopewa nafasi ya kujifunza

Shit! Tanzania lingekuwa dhehebu mi ningebatizwa nihamie dhehebu lingine.
Watz weng ni wajinga with narrow minded brain
 
Enough is Enough. Yalikuwa yamelala sasa umeyaamsha. Umeleta giza kwenye mwanga wangu now get this.

Listen dude am not a low life the way you think.Nina hela ya kutosha I work many hours per day na hela yangu ni clean siyo ya ujanja. Am not desperate. If I want I can live comfortable here and soon Al be granted permanent residence here very soon and the process is going on and Al let you know when it comes out.

You are messing with a wrong person dude here in JF. Nimekuvutia subra na pumz nimesema baas now receive the consequences.

Nimekutengea million arubain. NitKutrak na kukutres na nitakupata tu. Nitakuzaba mfululizo wa makofi kwa muda wa dakika mbili na kila kofi ntakulipa laki. Wait for me am coming to fix you up and the impact will be devastating.

An egg laying mammal
Mpotezee huyu cjui kala maharage ya wapi.
Anajiandaa kwenda kwa gwajima kutoa sadaka
 
Sema Finland.

Unarudia rudia kuandika Finlend... Finlend... Finlend...

Unaishije Scandinavia miaka thelathini hujui kuandika Finland?

Unajaze fomu ya maombi ya kazi? Nyie diaspora vipi nyie? Ndio mnasema mpewe uraia pacha msaidie kufanya nini? Ku invest?
Mkuu inaonekana wewe ni mjivuni sana, huyo Copenhagen DN amekujibu vizuri sana kwenye post yake #75, basi una wivu tu by nature. Mkuu Copenhagen DN piga box mpaka liseme mma.
 
Sema Finland.

Unarudia rudia kuandika Finlend... Finlend... Finlend...

Unaishije Scandinavia miaka thelathini hujui kuandika Finland?

Unajaze fomu ya maombi ya kazi? Nyie diaspora vipi nyie? Ndio mnasema mpewe uraia pacha msaidie kufanya nini? Ku invest?
Buyaka wewe sio mstaarabu. Nadhani kwa asilimia mia moja.
 
Wanasema Indian Sub-Continent.

Sio sub-Indian continent. Na nchi tunazijua, usituwekee orodha, wewe hujui hata region inaitwaje.

Halafu sema inahitaji Masters ili uje." Sio "hili uje."

Kiswahili kuandika hujui, Kiingeeza hujui, utaacha kufanya "shit jobs"? By the way, wanasema shitty jobs, sio "shit jobs."

Diaspora hawa ndio tunaambiwa eti wakisomea nje wakija nyumbani wanapata ajira kirahisi. Wengine hata kuandika sentensi moja ya Kiswahili au Kiingereza hawawezi. Umekaa Ulaya miaka 10, 20 unasema continent Indian sub
Kumbuka Denmark hawazungumzi kiingereza kwa hiyo akikosea sio tija sana, after all lengo la mawasiliano ni ujumbe ufike, mengine ni ziada
 
Acha wivu wa kike wewe kwamba wewe ndo unajua sana?
 
Sema Finland.

Unarudia rudia kuandika Finlend... Finlend... Finlend...

Unaishije Scandinavia miaka thelathini hujui kuandika Finland?

Unajaze fomu ya maombi ya kazi? Nyie diaspora vipi nyie? Ndio mnasema mpewe uraia pacha msaidie kufanya nini? Ku invest?

Unajaze ndo kitu gani.? Likitambi la makinikia wewe. Ulizaliwa Tanzania ukakulia Tanzania na bado Kiswahili hukijui.
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Kumbuka Denmark hawazungumzi kiingereza kwa hiyo akikosea sio tija sana, after all lengo la mawasiliano ni ujumbe ufike, mengine ni ziada

Na Kiswahili nacho hajui?

Diaspora wamekuja juu.

Nategemea watu mliotoka na kuishi nje muwe na exposure zaidi. Sasa unakaa nje miaka 15, 25, unabaki kama ulivyoondoka, huwezi kuandika hata jina la nchi uliyopo. FINELAND... DERNMARK.... CONTINENT SUB-INDIAN...Kiswahili nacho shida, uliombaje visa? Mnaongeza value gani kwa Taifa? Ndio maana mlishindwa kudhihirisha madai ya thamani mtakayoongeza kama mngepewa uraia pacha.
 
Wanasema Indian Sub-Continent.

Sio sub-Indian continent. Na nchi tunazijua, usituwekee orodha, wewe hujui hata region inaitwaje.

Halafu sema inahitaji Masters ili uje." Sio "hili uje."

Kiswahili kuandika hujui, Kiingeeza hujui, utaacha kufanya "shit jobs"? By the way, wanasema shitty jobs, sio "shit jobs."

Diaspora hawa ndio tunaambiwa eti wakisomea nje wakija nyumbani wanapata ajira kirahisi. Wengine hata kuandika sentensi moja ya Kiswahili au Kiingereza hawawezi. Umekaa Ulaya miaka 10, 20 unasema continent Indian sub
Una chuki binafisi na jamaa,
 
Kama mtu hajui ndiyo anahukumiwa hivi. Jamaa kakosea mrekebishe kinidhamu tu.

Ila kama nyie mnafahamiana nje ya huu uzi na huwa mnavutana wacha nikae pembeni. Ila kukosea kupo na unamsahihisha mtu kawaida tu .
Jamaa atakuwa ni Profesa huyo make anajua kila kitu
 
Back
Top Bottom