Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,309
30,952
Mzuka wanaJF!

Kuna wimbi kubwa la wasomi wahamiaji Denmark kuikimbia Denmark. Wamechoka kubeba boksi. Unakuta mtu ana elimu ya juu masters phd lakini anabeba boksi kweli kisaikolojia anaumia.

Wengi wanakimbilia Ujerumani na Finlend. Huko wanapata nafasi ya kusoma unesi angalau wanaona ina hadhi kuliko kazi za usafi. Kama mwezi huu na uliopita wengi naowafaham wameenda Ujerumani na Finlend kufanya entrance examinations ambapo Denmark ni ngumu kwa muamiaji mwenye working permit kupata nafasi iyo. Wengi wao ni masters lakini cha ajabu wanaanza upya kupata digrii ya unesi na wako radhi kufanya hivyo.

KAMA UNAELIMU KUBWA NA KAZI NZURI BONGO INAYOKUINGIZIA ANGALAU 1.8 M USIJE HUKU KUBEBA BOKSI JAPO BOKSI HAPA LINALIPA.
 
Hao wanaokimbilia Finland wataweza kweli lugha yao? Ila napenda sana social systems za Scandinavia. Hujui lugha hauwezi kuwa integrated kwenye system utaishia tu kwenye odd jobs... Na kingine watu wamekosa ubunifu, wakati Danes wengi hawana kazi na wameamua kuwa wabunifu wengine bado wanategemea traditional systems ndio maana wanakuwa rejected. Efficiency na productivity ipo juu sana Denmark ukiwa mbulula lazima uwekwe pembeni hata kama una PhD 10.
 
Huko ulaya kazi inayolipa ni ya unesi tu,hamna taaluma nyingine inayolipa?wenye experience na huko mtujuze
 
Hao wanaokimbilia Finland wataweza kweli lugha yao? Ila napenda sana social systems za Scandinavia. Hujui lugha hauwezi kuwa integrated kwenye system utaishia tu kwenye odd jobs... Na kingine watu wamekosa ubunifu, wakati Danes wengi hawana kazi na wameamua kuwa wabunifu wengine bado wanategemea traditional systems ndio maana wanakuwa rejected. Efficiency na productivity ipo juu sana Denmark ukiwa mbulula lazima uwekwe pembeni hata kama una PhD 10.
kweli kabisa skendinevia countries are welfare states. There social system is very efficient.
 
Karibia $25 per hour ?!!! Muosha vyombo na mfagiaji wanaangukia kwenye minimum wage. Minimum wage ya Denmark ni $ ngapi?
wages are very high so do the cost of living and a very very high taxation. Rent Copenhagen ni juu sana. There is no specific minimum wages ila Dishwashers na cleaners sanasana ni Danish krone 130-150 kwa saa. Mimi nafanya masaa 16 hawa wananilima 36% tax but it's worth it. Ila naishi mbali na jiji in a shared apartment
 
wages are very high so do the cost of living and a very very high taxation. Rent Copenhagen ni juu sana. There is no specific minimum wages ila Dishwashers na cleaners sanasana ni Danish krone 130-150 kwa saa. Mimi nafanya masaa 16 hawa wasengeh wananilima 36% tax but it's worth it. Ila naishi mbali na jiji in a shared apartment
Angalia mgongo huo.
 
Back
Top Bottom