14hrs bw...6am to 2pm then 4pm to 10pm.
mkuu ila kweli nashughilikia permanent residence hapa sasa hivi nikiipata nadhan nitapunguza masaa. Ningeipata longtime 2014 ila niliharibu miaka flan. Ila mshahara ukiingia 15th na 31st unasahau maumivu yote

wana green card scheme yao ila ni complicated sana inahitaji uwe na masters hili uje. Wengi wanaokuja na hii scheme wanatoka sub-india continent ( India, Pakistan, Nepal na Bangladesh) na mapopo (West Africans) na ni highly professional kwenye it na physicians. Ila wakifika hapa tunafagia na kuosha nao vyombo mdeni eti akupe IT technician au udokta wee nani? Ila nawacheka sana wanafagia huku wanatukana "this is a shit job". Ni nchi yao bwana hawakukunyoshea mtutu uje.
Mkuu ulipataje zali la kwenda Denmark?
Msamehe bure mkuu,si wote waliokwenda ng'ambo miaka hiyo walikuwa wana elimu ya kutosha,wengine walienda huko wakiwa na elimu ya darasa la saba au form four ile ya mikikimikiki na walipofika huko walianza moja kwa moja na "shit jobs".Wanasema Indian Sub-Continent.
Sio sub-Indian continent. Na nchi tunazijua, usituwekee orodha, wewe hujui hata region inaitwaje.
Halafu sema inahitaji Masters ili uje." Sio "hili uje."
Kiswahili kuandika hujui, Kiingeeza hujui, utaacha kufanya "shit jobs"? By the way, wanasema shitty jobs, sio "shit jobs."
Diaspora hawa ndio tunaambiwa eti wakisomea nje wakija nyumbani wanapata ajira kirahisi. Wengine hata kuandika sentensi moja ya Kiswahili au Kiingereza hawawezi. Umekaa Ulaya miaka 10, 20 unasema continent Indian sub
@nyaningabu na @mwanakijiji,wabeba box sugu ulaya nzima
Kama mtu hajui ndiyo anahukumiwa hivi. Jamaa kakosea mrekebishe kinidhamu tu.Wanasema Indian Sub-Continent.
Sio sub-Indian continent. Na nchi tunazijua, usituwekee orodha, wewe hujui hata region inaitwaje.
Halafu sema inahitaji Masters ili uje." Sio "hili uje."
Kiswahili kuandika hujui, Kiingeeza hujui, utaacha kufanya "shit jobs"? By the way, wanasema shitty jobs, sio "shit jobs."
Diaspora hawa ndio tunaambiwa eti wakisomea nje wakija nyumbani wanapata ajira kirahisi. Wengine hata kuandika sentensi moja ya Kiswahili au Kiingereza hawawezi. Umekaa Ulaya miaka 10, 20 unasema continent Indian sub
Yeah zali au labda rasmiMh zali??
Pole sana, sisi tuko driving school tayari kuanza kusukuma noah, halafu kila ijumaa unaingiziwa mrahaba wamadini, siumesikia ngosha kasema winwin business yaani 50%/50%
Yeah zali au labda rasmi
Oh 4pm to 12am....Industrial/manual labour huwa zina shift tatu za 8hrs.14hrs bw...
Mbona pesa mingi hivyo?mshahara kufagia ama dishwashing ni shillingi elfu hamsini kwa saa
Hebu fafanua mkuu tukuelewe unakusudia Mongo hapa?kweli kabisa skendinevia countries are welfare states. There social system is very efficient.
Mkuu, nina mpango wa kuja ulaya kimasomo karibuni, hivi nikiwa na visa ya masomo halafu muda wa kupumzika nikawa napiga kazi mtaani ibaruhusiwa? Au nikikamatwa natimuliwa!wages are very high so do the cost of living and a very very high taxation. Rent Copenhagen ni juu sana. There is no specific minimum wages ila Dishwashers na cleaners sanasana ni Danish krone 130-150 kwa saa. Mimi nafanya masaa 16 hawa wananilima 36% tax but it's worth it. Ila naishi mbali na jiji in a shared apartment
Na mm nataka nijue hiiMkuu, nina mpango wa kuja ulaya kimasomo karibuni, hivi nikiwa na visa ya masomo halafu muda wa kupumzika nikawa napiga kazi mtaani ibaruhusiwa? Au nikikamatwa natimuliwa!
Nasikia na nyingine ya uyaya wa vikongwe!!Huko ulaya kazi inayolipa ni ya unesi tu,hamna taaluma nyingine inayolipa?wenye experience na huko mtujuze