Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

Ah ah huyu Jamaa umeambiwa anakaa shared apartment hujaweka kodi,heating cost,ela ya usafi nauli ukute anakaa MWANZA kazi dar,mwisho wa siku unaweza kuta anabaki na 50,000 kwa Siku..all in all kama huna cha kufuata bongo ni kuzuri mi nilienda tembelea MTU uholanzi miezi 6 huoni Jirani AF case za watu kujirusha kwe trams kibao...
Labda jamaa aje atupe mchanganuo vzuri.. Tujue gharama za huko zipoje..coz tumepiga mahesabu ya kutumia 90000 kwa siku
 
Usishangae, Masters zenyewe unakuta zinaitwa sijui Diplomatic relation, International sijui nini, Economics .... Hizo unategemea Denmark upate kazi ipi inayoendana na hizi courses ambazo hazijielewi?

Watu wanaopiga masters za kueleweka mfano engineering hasa kwenye computer technology hawabebi maboksi, unakuta wameajiriwa kwenye kampuni au hata vyuoni wanapiga mzigo vizuri tu. Watu wawe wanachagua major vizuri sio kukurupuka tu. Hivi vi major vya mambo ya siasa hivi hupati kazi nchi za watu piga ua, siasa we mbongo ukafanyie nchi ya mtu mwingine toka lini?
Mtu ana masters ya "American Civil War" halafu hana papers.

Lazima aisome namba.
 
Back
Top Bottom