Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

mkuu ila kweli nashughilikia permanent residence hapa sasa hivi nikiipata nadhan nitapunguza masaa. Ningeipata longtime 2014 ila niliharibu miaka flan. Ila mshahara ukiingia 15th na 31st unasahau maumivu yote
Ww chapakazi kweli ...kwenye upande wa kuosha vyombo....najaribu kuwaza ungelikuwa tz...una miliki, kulima na kusimamia mashamba ....ungekuwa tajiri sana ..nionacho kwako fedha inakufanya ugangamale
 
je mshahara ni kiasi gani kwa mbeba box..?
kama ni nzuri hiyo pesa sitaki sifa nataka pesa
wana green card scheme yao ila ni complicated sana inahitaji uwe na masters hili uje. Wengi wanaokuja na hii scheme wanatoka sub-india continent ( India, Pakistan, Nepal na Bangladesh) na mapopo (West Africans) na ni highly professional kwenye it na physicians. Ila wakifika hapa tunafagia na kuosha nao vyombo mdeni eti akupe IT technician au udokta wee nani? Ila nawacheka sana wanafagia huku wanatukana "this is a shit job". Ni nchi yao bwana hawakukunyoshea mtutu uje.
 
mshahara kufagia ama dishwashing ni shillingi elfu hamsini kwa saa
Na matumizi ni Tshs 90,000 kwa siku kwa iyo unakuwa unaishi kwa kujibana mbaya. Kama ilivyo apa bongo wanaofanya kazi za usafi unakuta mtu anachukua Tshs 4000 au 5,000 lakini matumizi yake kwa apa Dar es salaam ni zaidi ya iyo kwa siku
 
Bongo Mtu Ukimwambia Kuwa Kwa sasa Naish Denmark Anaona Una maisha Mazur sana tena wee ni Tajir
 
Ww chapakazi kweli ...kwenye upande wa kuosha vyombo....najaribu kuwaza ungelikuwa tz...una miliki, kulima na kusimamia mashamba ....ungekuwa tajiri sana ..nionacho kwako fedha inakufanya ugangamale
namiliki mashamba homu Bro niko well off. Pia nina credit nzuri tu naweza hata kuchukua mortgage na kukopeshwa hela ya maana. Nina savings ya maana. Boksi linalipa mkuu ukiwa focused na malengo.
 
namiliki mashamba homu Bro niko well off. Pia nina credit nzuri tu naweza hata kuchukua mortgage na kukopeshwa hela ya maana. Nina savings ya maana. Boksi linalipa mkuu ukiwa focused na malengo.
Haya bana naona kuosha vyombo ni passion yako...but all in all hongera kwa hizo achievement ulizopata...
 
Pole sana, sisi tuko driving school tayari kuanza kusukuma noah, halafu kila ijumaa unaingiziwa mrahaba wamadini, siumesikia ngosha kasema winwin business yaani 50%/50%
 
Back
Top Bottom