Wasomi wengi wabeba boksi wanaikimbia Denmark

Sema Finland.

Unarudia rudia kuandika Finlend... Finlend... Finlend...

Unaishije Scandinavia miaka thelathini hujui kuandika Finland?

Unajaze fomu ya maombi ya kazi? Nyie diaspora vipi nyie? Ndio mnasema mpewe uraia pacha msaidie kufanya nini? Ku invest?
Ujue watu wanakuona fala.
 
Na Kiswahili nacho hajui?

Diaspora wamekuja juu.

Nategemea watu mliotoka na kuishi nje muwe na exposure zaidi. Sasa unakaa nje miaka 15, 25, unabaki kama ulivyoondoka, huwezi kuandika hata jina la nchi uliyopo. FINELAND... DERNMARK.... CONTINENT SUB-INDIAN...Kiswahili nacho shida, uliombaje visa? Mnaongeza value gani kwa Taifa? Ndio maana mlishindwa kudhihirisha madai ya thamani mtakayoongeza kama mngepewa uraia pacha.
Ngurumbili mmoja
 
Gongo uliokunywa inakupelekesha sana.
 
Jamaa atakuwa ni Profesa huyo make anajua kila kitu

Ukisema mtu ajue kuandika jina la nchi anayoishi, nako ni kujifanya kujua kila kitu?

Elimu yetu Tanzania ni duni, hatukupata msingi mzuri, basi mnapokwenda huko jiendelezeni. Msituletee mbinu za kupiga boxi saa 16 kwa siku.

Eti akipata hela mgongo hausikii tena maumivu. Hata hajui long term effects za kuu stress mgongo. Na nyinyi ndio mnatuletea mpaka furniture zinaitwa ergonomic chairs, kwamba hata kwa kukaa tu unaweza kuumiza mwili kama kiti hakifai. Mtu anakaa nje miaka 20 hayajui haya. Diaspora wa Tanzania bana!
 
Ni maisha yake, Fuata maisha yako na yeye muacha na maisha yake. kwan mgongo ukilemaa si ni yeye?

Acha ujinga na wivu kama mchawi, nyie ndo wale mnashinda kuonea wenzenu wivu.

Comment zako zimejikita kwenye misingi ya wivu.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ni maisha yake, Fuata maisha yako na yeye muacha na maisha yake. kwan mgongo ukilemaa si ni yeye?

At least tunakubaliana kwa hilo. Good step in the right direction.

Kwamba huyu mtu mgongo wake utakuwa eff'd up.

Na yeye mwenyewe wala hajijui, hana exposure masikini ya Mungu, anasema akipata hela maumivu yanaisha. Diaspora wetu hawa.

There is something to be said about that. Mgongo ni wake ndio, lakini asitupe sisi lecture ya kuja kuchana pingili za migongo huko. Hata hajui yuko wapi.... Fineland, Dernmark, Continent Sub-Indian... Please.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Na Kiswahili nacho hajui?

Diaspora wamekuja juu.

Nategemea watu mliotoka na kuishi nje muwe na exposure zaidi. Sasa unakaa nje miaka 15, 25, unabaki kama ulivyoondoka, huwezi kuandika hata jina la nchi uliyopo. FINELAND... DERNMARK.... CONTINENT SUB-INDIAN...Kiswahili nacho shida, uliombaje visa? Mnaongeza value gani kwa Taifa? Ndio maana mlishindwa kudhihirisha madai ya thamani mtakayoongeza kama mngepewa uraia pacha.
You jerk, idiot son of bitch with no commercial value, wat kinda exposure wanna see from em? Compehagen is here tellin what takes place there, kama una wivu wa kike vile go to ur gay fello. Watu tunafuatilia idea sio lugha. Jamaa kama hajui kiswahili jua anazungumza kinyakyusa but we still understand anachokiandika. Asikukwagha inyali ndumyana ugwe.
 
You jerk, idiot son of bitch with no commercial value, wat kinda exposure wanna see from em? Compehagen is here tellin what takes place there, kama una wivu wa kike

COMPEHAGEN?

Mwingine huyu, hajui kuandika Copenhagen!

Tunafanyaje na hawa diaspora walioshindwa kujiendeleza, masikini ya Mungu.
 
Enough is Enough. Yalikuwa yamelala sasa umeyaamsha. Umeleta giza kwenye mwanga wangu now get this.

Listen dude am not a low life the way you think.Nina hela ya kutosha I work many hours per day na hela yangu ni clean siyo ya ujanja. Am not desperate. If I want I can live comfortable here and soon Al be granted permanent residence here very soon and the process is going on and Al let you know when it comes out.

You are messing with a wrong person dude here in JF. Nimekuvutia subra na pumz nimesema baas now receive the consequences.

Nimekutengea million arubain. NitKutrak na kukutres na nitakupata tu. Nitakuzaba mfululizo wa makofi kwa muda wa dakika mbili na kila kofi ntakulipa laki. Wait for me am coming to fix you up and the impact will be devastating.

An egg laying mammal
"an egg laying mammal..!"
Kwampa jamaa ni duckbilled platypus nn?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Wewe jamaa kila siku ni kujisifia jinsi ulivyo milionea kwa kuosha vyombo na kufanya usafi Denmark miaka 20! Hata ukifanya kazi 24 hours hiyo hela ni ndogo kwa living standards za huko na utaishia kuwadanganya ambao hawajaishi huko. Unaosha vyombo na vyoo sababu lugha huijui hadi leo ndiyo maana huwezi kufanya kazi ya maana kaa kuosha vyombo. Hata kazi ya cashier supermarket huwezi pata sababu hujui lugha! Halafu greencard scheme ya Denmark haipo tena iliisha Juni 2016.
 
Kwani box unaeza keep 1.8m per month huko Denmark baada ya makato kato?
 
Enough is Enough. Yalikuwa yamelala sasa umeyaamsha. Umeleta giza kwenye mwanga wangu now get this.

Listen dude am not a low life the way you think.Nina hela ya kutosha I work many hours per day na hela yangu ni clean siyo ya ujanja. Am not desperate. If I want I can live comfortable here and soon Al be granted permanent residence here very soon and the process is going on and Al let you know when it comes out.

You are messing with a wrong person dude here in JF. Nimekuvutia subra na pumz nimesema baas now receive the consequences.

Nimekutengea million arubain. NitKutrak na kukutres na nitakupata tu. Nitakuzaba mfululizo wa makofi kwa muda wa dakika mbili na kila kofi ntakulipa laki. Wait for me am coming to fix you up and the impact will be devastating.

An egg laying mammal
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuu hili biti si la nchi hii...

Sema mpotezee wanaomjua wanasema ni " mataputapu original"...
 
  • Kicheko
Reactions: apk
Back
Top Bottom