zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,060
- 28,706
Mtaji sio dili mkuu siku hizi kuna francising nyingi sana hapa duniani.Would you tell me walianzaje bila mtaji?
Let me ask you a question.
Imagine wewe ni mtoto wa masikini au ni masikini as huyo dada pia umemaliza chuo na elimu yako let say una economics degree na una plans za kumiliki company kubwa ya usafiri.
Wewe ungefanya nini kwenye situation kama hiyo?
Mfano mimi ningeongea na brand kubwa say Wasafi then nachukua mkopo wa bajaji kma 10 hivi natumia brand yao for marketing then wao wananufaika na advertising from bajaj zangu.
So kwenye redio/nyimbo wanazipaisha.... Trust me watu kibao watataka kujiunga kwenye hiyo fursa na bajaj zingepandwa hadi na masuperstar wa kibongo. Kikubwa tu ni kuzi customize ili ziwe na utofauti hata barabarani mtu akipita tu anajua ileeeee bajaji ya wasafiiiiii.
Trust me zingekodiwa kila kona na mpaka mwaka unaisha unajikuta umekamata Dodoma nzima. That's education
Hata china huko sio kwamba Iphone inatengeza cmu zake zote.... Ni mtu ana kampuni yake anaomba leseni tu atengeneze lets say iphone X so anajua atauza sababu ya ile bran ya Apple then yye kwenye faida unawapa dividends kma 30% hivi hiyo nyingine yako.
Mimi ningefanya hivyo