Usikubali kulipwa mshahara maisha yako yote, kataa

PureView zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
9,099
29,888
USIKUBALI KULIPWA MSHAHARA MAISHA YAKO YOTE… KATAA🧠

“A salary is a drug they give you when they want you to forget about your dreams" ... Kevin O'Leary

Vipi unakubali au unakataa?

REPOST Wengi Wajifunze 🙏

...Huu ni ukweli mchungu kuhusu mshahara 👇

✔️Kama Unalipwa Mshahara Maana yake Unabeba Risk Kidogo Mno.

✔️Kama Unalipwa Mshahara maana yake hauna cha kupoteza.

✔️Kama Unalipwa Mshahara maana yake, iko siku utakuwa nje ya mfumo na maisha yataendelea.

✔️Kama unalipwa mshahara maana yake unavuja jasho ili mwingine atajirike.

✔️Kama unalipwa mshahara maana yake, una-sacrifice ratiba zako zikubalike kwe boss wako.

...Sisemi kuajiriwa na kubaya.

Hapana.

Wengi tumepita kwenye kuajiriwa ili kujisimamisha kimaisha, kujitafuta na kujifunza ujuzi wa muhimu.

Kama unaajiriwa basi iwe kwa muda mfupi.

Nenda kaajiriwe kwa ajili yakukusanya maarifa na ujuzi.

Usiende kuajiriwa kwa ajili ya kutajirika.

SHida inanzia hapa:

95% ya watu wanasoma kwa bidi ili waje wapate kazi nzuri.

Hwa wote wanataka kuajiriwa.

Haa wote hawataki kutake risk.

Wote wanataka kulipwa mishahara.

Ukikubali kulipwa mshahara, basi uekubali kutumika ili wengine waishi ndoto zao.

Mwingine atakwambia, oh watu wote hawawezi kujiajiri.

Sasa wewe ndo umeumbwa kuwa mwajiriwa?
Kwanini, usiajiri wewe?

...TUSIBWETEKE.

Kuajiriwa iwe ni ngazi na sehemu ya kwenda kuiba maujuzi.

Jifunze biashara, systems, wateja, products n.k

Usiedne kuajiriwa ukiwa unawaza utajiri.

My friend, hakuna utajiri kwenye kuajiriwa.

Kitu ambacho hakina risk, kikupe utajiri.

Never, kwa sauti ya Magu.

...Sema Kuajiriwa kutamu sana.

Unalipwa mshahara.

Hubebi risk ya hasara za kampuni.

Hasara ziwepo zisiwepo,
wewe mwisho wa mwezi unakunja mfukoni.

Amazing, sio?

What a feeling inapofika tarehe 21+

Furaha inarudi maishani.

Mshahara ukiisha tena,
unaanza kuwaza mwisho wa mwezi.

Na wengine, wengi tu,
mishahara inatumiwa kabla haijatoka.

Yaani ile unatoka, ushaisha kitambo.

Naam,

Haya ndio maisha ya wafanyakazi wengi.

Na ukweli ni kwamba,

Huwezi kutajirika kwa kuajiriwa na kutegemea mshahara huo huo.

Ulipe: bills, chakula, na mahitaji mengine +
kusaidia wanaokutegemea.

Huwezi kutoboa kwa kutegemea mshahara.

HAIWEZEKANI.

Labda wachache sana, waliofanikiwa kufika level za juu za mishahara.

Wengi wanaishia paycheck to paycheck.

Ni muda sasa wa kukataa utumwa.

Karibuni kwenye ulingo wetu wa kujitafuta na kuanza kujitegemeza kwa kujifunza ujuzi, biashara na maarifa mapya ili kupanua wigo wa kuingiza kipato.

Haya ndio maisha.

Sisemi uache kazi.

Nasema,

Anza kufikiria kuzalisha.

Si umeajiriwa?

Anza kufikiria vipi kama wewe ndio ungekuwa unalipa watu mishahara?

Vipi ungekuwa unajipangia ratiba za maisha?

Vipi ungekuwa unawaza tu kukuza zaidi kampuni lako?

Ukianza kuajiri maana yake, unatumia nguvu za watu wengine (cheap labor) kukusaidia kunyanyuka kiuchumi. Hii ni chungu kuisikia, lakini ndo uhalisia na ukweli. Ndo mfumo wa ubepari. Ndo maana matajiri watahakikisha wanakulipa the lowest amount possible ili tu kuhakikisha faida yao inakuwa juu.

ITAKUWAJE KAMA?

Utakuwa mzalishaji na kuanza kuongeza uwezo wako wa kipato na kukua kiuchumi.

Uhuru wa kifedha hautoki kwenye mshahara tu.

Unahitaji kufanya mishe zingine kuzalisha na kuongeza kipato.

Mambo yakikubali, sasa unaacha na kazi.

SASA NI MUDA MWAFAKA KUANZA KUZALISHA...

- Bidhaa

- Huduma

- Chochote utakachouza kwa jina lako.

Anything man!

Ilimradi tu, huvunji sheria.

Muhimu kuongeza thamani kwenye maisha ya watu.

Kwanini kukubali daima kuwa chini ya mtu na wewe kushindwa kabisa kutanua mbawa zako?

Imagini kila siku kuamka kwenda kumsaidia jamaa kuwa tajiri zaidi?

Haikuumi?

Hata kama ni mtumishi wa umma, same!

Naval anasema,
kila mtu ni brand na biashara na inawezekana kabisa.

Anzisha kitu.

Tumia mitandao kujitangaza.

Jifunze kuuza.

Aibu zako na hofu acha 2023.

Ego yako weka kando.

Ujuaji wako weka kule.

2024 ni mwaka wa kuchapa kazi.

MUNGU awabariki Sana
 
images.jpeg
 
karibu sana shamba ndugu, tena kwa mshahara huohuo mdogo mbona utafurahi na kuhisi umechelewa kuanza kilimo, ufugaji na biashara? 🐒

mipesa njee njee aise tsaatsaaatsaaaaatsssaaaahh 🐒
Baba yangu mzazi alikuwa ananiachia biashara Toka nipo darasa la sita na ndiyo kipindi nimeanza kujinunulia nguo,viatu na vitu vidogo Toka hapo Hadi Leo nimeshafanya biashara nyingi za Aina tofauti Hadi mashamba ya korosho naijua kiundani zaidi
 
USIKUBALI KULIPWA MSHAHARA MAISHA YAKO YOTE… KATAA

“A salary is a drug they give you when they want you to forget about your dreams" ... Kevin O'Leary

Vipi unakubali au unakataa?

REPOST Wengi Wajifunze

...Huu ni ukweli mchungu kuhusu mshahara

Kama Unalipwa Mshahara Maana yake Unabeba Risk Kidogo Mno.

Kama Unalipwa Mshahara maana yake hauna cha kupoteza.

Kama Unalipwa Mshahara maana yake, iko siku utakuwa nje ya mfumo na maisha yataendelea.

Kama unalipwa mshahara maana yake unavuja jasho ili mwingine atajirike.

Kama unalipwa mshahara maana yake, una-sacrifice ratiba zako zikubalike kwe boss wako.

...Sisemi kuajiriwa na kubaya.

Hapana.

Wengi tumepita kwenye kuajiriwa ili kujisimamisha kimaisha, kujitafuta na kujifunza ujuzi wa muhimu.

Kama unaajiriwa basi iwe kwa muda mfupi.

Nenda kaajiriwe kwa ajili yakukusanya maarifa na ujuzi.

Usiende kuajiriwa kwa ajili ya kutajirika.

SHida inanzia hapa:

95% ya watu wanasoma kwa bidi ili waje wapate kazi nzuri.

Hwa wote wanataka kuajiriwa.

Haa wote hawataki kutake risk.

Wote wanataka kulipwa mishahara.

Ukikubali kulipwa mshahara, basi uekubali kutumika ili wengine waishi ndoto zao.

Mwingine atakwambia, oh watu wote hawawezi kujiajiri.

Sasa wewe ndo umeumbwa kuwa mwajiriwa?
Kwanini, usiajiri wewe?

...TUSIBWETEKE.

Kuajiriwa iwe ni ngazi na sehemu ya kwenda kuiba maujuzi.

Jifunze biashara, systems, wateja, products n.k

Usiedne kuajiriwa ukiwa unawaza utajiri.

My friend, hakuna utajiri kwenye kuajiriwa.

Kitu ambacho hakina risk, kikupe utajiri.

Never, kwa sauti ya Magu.

...Sema Kuajiriwa kutamu sana.

Unalipwa mshahara.

Hubebi risk ya hasara za kampuni.

Hasara ziwepo zisiwepo,
wewe mwisho wa mwezi unakunja mfukoni.

Amazing, sio?

What a feeling inapofika tarehe 21+

Furaha inarudi maishani.

Mshahara ukiisha tena,
unaanza kuwaza mwisho wa mwezi.

Na wengine, wengi tu,
mishahara inatumiwa kabla haijatoka.

Yaani ile unatoka, ushaisha kitambo.

Naam,

Haya ndio maisha ya wafanyakazi wengi.

Na ukweli ni kwamba,

Huwezi kutajirika kwa kuajiriwa na kutegemea mshahara huo huo.

Ulipe: bills, chakula, na mahitaji mengine +
kusaidia wanaokutegemea.

Huwezi kutoboa kwa kutegemea mshahara.

HAIWEZEKANI.

Labda wachache sana, waliofanikiwa kufika level za juu za mishahara.

Wengi wanaishia paycheck to paycheck.

Ni muda sasa wa kukataa utumwa.

Karibuni kwenye ulingo wetu wa kujitafuta na kuanza kujitegemeza kwa kujifunza ujuzi, biashara na maarifa mapya ili kupanua wigo wa kuingiza kipato.

Haya ndio maisha.

Sisemi uache kazi.

Nasema,

Anza kufikiria kuzalisha.

Si umeajiriwa?

Anza kufikiria vipi kama wewe ndio ungekuwa unalipa watu mishahara?

Vipi ungekuwa unajipangia ratiba za maisha?

Vipi ungekuwa unawaza tu kukuza zaidi kampuni lako?

Ukianza kuajiri maana yake, unatumia nguvu za watu wengine (cheap labor) kukusaidia kunyanyuka kiuchumi. Hii ni chungu kuisikia, lakini ndo uhalisia na ukweli. Ndo mfumo wa ubepari. Ndo maana matajiri watahakikisha wanakulipa the lowest amount possible ili tu kuhakikisha faida yao inakuwa juu.

ITAKUWAJE KAMA?

Utakuwa mzalishaji na kuanza kuongeza uwezo wako wa kipato na kukua kiuchumi.

Uhuru wa kifedha hautoki kwenye mshahara tu.

Unahitaji kufanya mishe zingine kuzalisha na kuongeza kipato.

Mambo yakikubali, sasa unaacha na kazi.

SASA NI MUDA MWAFAKA KUANZA KUZALISHA...

- Bidhaa

- Huduma

- Chochote utakachouza kwa jina lako.

Anything man!

Ilimradi tu, huvunji sheria.

Muhimu kuongeza thamani kwenye maisha ya watu.

Kwanini kukubali daima kuwa chini ya mtu na wewe kushindwa kabisa kutanua mbawa zako?

Imagini kila siku kuamka kwenda kumsaidia jamaa kuwa tajiri zaidi?

Haikuumi?

Hata kama ni mtumishi wa umma, same!

Naval anasema,
kila mtu ni brand na biashara na inawezekana kabisa.

Anzisha kitu.

Tumia mitandao kujitangaza.

Jifunze kuuza.

Aibu zako na hofu acha 2023.

Ego yako weka kando.

Ujuaji wako weka kule.

2024 ni mwaka wa kuchapa kazi.

MUNGU awabariki Sana
Dah... Kwamba sisi kuwatumikia wananchi kwa kuwapa huduma mbalimbali. Ni mazwazwa.

Mama ,Mh. Rais Samia Suluhu Hassan waongezee tena watumishi mishahara.
 
Back
Top Bottom