Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

Tofaitisha kumiliki kampuni ya usafiri was bajaji na mimi kuwa dereva was bajaji eti jioni naoeleka kioande kwa bosi au hata kama bajaji ni yangu niwe naendesha mwenyewe ni umbuzi
So mkuu unadhani kumiliki company ya usafiri wa bajaj ni kama kuibuka tu kutoka mtoni hakuna kuanzia chini.
 
kwa kiki hiyo uliyopata dada yangu tegemea mazuri na muheshimiwa kashamsoma ikimpendeza dada yetu tutasikia amekuwa katibu tawala maana ni mchapakazi kwelikweli .sasa wewe endelea kuzungusha bahasha zako katikat ya mji badala ufanye jambo mfano jamii ikusikie ikuone ili utengeneze mwanya wa kupewa kazi nzuri zaid yenye maslah bora.kongole dada yetu
 
Afu aniambie niishi kwa tabu ili watoto wasome? Huo ujinga sitafanya kamwe....

Angejitambua mapema huo mda aliopoteza kusoma akaendesha bajaji sa ivi si angekua milionea!!
 
Mimi ntampongeza atakapotumia "masters" yake kutoka kumiliki bajaj mpaka kuwa na kampuni ya usafirishaji kama Dhandho, THL nk. Hapo atakua amejitendea haki yeye na elimu yake.
 
Thank you chief. Ndio tunapokwama hapo, tunaona kuwa boda boda ndio inspiration kwa wasio na ajira.

This is the outcome, When poverty rhymes with ignorance.
Na hili gazeti la mwananchi wanafeli sana, badala ya kutuletea emerging youth billionaires watu wawe inspired, tunarudishana kwenye udereva wa bajaji
 

1609304271404.png

C&P
 
Back
Top Bottom