Wasio waislamu msilete ujuaji katika mambo ya Uislamu

Umetoa ufafanuzi mzuri ila kiuhalisia madhehebu ya dini ya kiislam ni mengi na kila dhehebu lina mtazamo wake katika kutekeleza ibada hivyo basi Serikali haiwezi ku-favor kila dhehebu na kulipa uzani sawa maana kutakuwa na matukio mengi na hivyo kuzuia shughuli nyingine za kiserikali

Mfano Sunni na Taasisi yao watambulike, halikadharika shia, ahamadia, suffi na kwa upande mwingine kuna Catholic, KKKT, TAG, SABATO nk hapo utakuta kalenda yote ni matukio ya kidini tupu

Hivyo basi kuna ulazima wa nyie wahusika wenyewe kutafuta platform moja ya kuwawakilisha serikalini msipofanya hivyo Serikali itawasaidia kama ifanyavyo sasa
Kalenda inasema idd ni siku mbili sio, kwa nini isiwe siku ya kwanza ni ya wanao tumia mwezi wa kimataifa na siku ya pili iwe ni kwa wengine ili wote wanufaike na siku hyo
 
Una uhakika wakiunda upya Taasisi hiyo Taasisi itakuwa balanced kwa madhehebu yote ya kisunni, suffi, shia, ahamadia na Al Sunnah waljamaat katika maswala ya hitilafu kama vile muandamo wa mwezi?
Naamini ivo ikiundwa na waislam na kila dhehebu likawa na mwakilishi kwenye hiyo taasisi ya kiislam itakayoundwa itaamuniwa na waislam wote.
Tatizo la BAKWATA inaacha wasiwasi kwamba haikuundwa na waislam.
Ipo kama taasisi ya kisiasa
Ndo maana hakuna Waislam wanaiamin BAKWATA
Eid ilikuwa ijumaa period
Hakuna waislam walingonja Eid ya BAKWATA aka Eid ya mama
 
Hicho kitu hakiwezi kutokea never! Ndio maana unaona nchi za kiislamu Vita haiishi usimuone Nyerere ni mpumbavu kuanzisha Bakwata na kuipa nguvu ya kimamlaka katika kuwasimamia waislamu wa madhehebu yote

Huwezi kulinganisha misimamo ya Sunni, shia, ahamadia na Suffi ikalingana kamwe haiwezi tokea kama hilo suala la mwezi haliwezi kutatuliwa kwa kukaa chini ila tu kwa mwezi wenyewe kuonekana na watu wa eneo husika

Swali: wewe kama wewe siku ya alhamisi mwezi uliuona? Au wailaumu bakwata wakati hata huo mwezi wenyewe hukuufuatilia na wala haukuhusu
 
Binafsi kinawezekana
Mbona wakristo wa kkkt, RC, pentecostal, sda wanafanya kwaresma na pasaka 1
 
Wewe umeona wapi nchi zenye wakiristo wengi zikawa na Vita? Za kiislamu je? Mkuu usibishe tu ilimradi tumia ufahamu na uelewa dini ya kiislamu na ya kikiristo ni dini mbili tofauti kabisa tena zimeachana umbali mkubwa mnoo
 
Hivi TANZANIA ndo ina waislam wakofi pekee?
Mbona taasisi za kiislam za nchi nyingine zinafanya vyema na zinaheshimika
Kenya, Uganda, Malawi, Zambia, n. K

Me sio muislam anatamam Waislam wapate chombo kingine tofauti na BAKWATA
 
waafrika wengi ni muslims, islam ni attractive kwa waafrika na black people kwa ujumla klk dini nyingine, dini nyingine ni ngumu kuziishi kwani zinataka responsibility sasa mwafrika hataki kuwa responsible na chochote anapenda kuishi kama ndege no rules, no responsibility for his actions, polygamy etc ndiyo maana islam iko attractive sana kwa waafrika, hata kama siyo muslims lkn inafit sana kwenye maisha ya mwafrika ya kila siku, ndiyo maana wako obsessed na islam wakati mwingine bila ya hata kujua.

chukulia tu kwa mfano budhism ya wachina na waasia kama korea na japan, ni ngumu kuifwata na kuiishi kwani inahitaji discipline, wanafanya meditation, abstinance from sex, ukimya unahitajika na siyo makelele sasa unafikiri mwafrika wa kawaida atayaweza hayo? aache kuonyesha dunia kama yeye ni kidume rijali ?

islam is the fastest growing religion in sub-saharan afrika, na sababu ni hiyo, inaendana sana na maisha ya mwafrika, mambo ya umwinyi, ukubwa na kupenda kuabudiwa ni sehemu ya package inayowavutia waafrika, anaweza kuoa na kuacha any time, no responsibility, anaweza ku maintain wanawake wengi kwa mara moja bila ya kuwa responsible na yoyote wala mtoto atakayezaliwa ni jukumu la mwanamke kumlea kwani yeye tayari keshasepa kwa next woman.

so usiwakasikirikie bali ulipaswa uwakaribishe ...
 
Hivi TANZANIA ndo ina waislam wakofi pekee?
Mbona taasisi za kiislam za nchi nyingine zinafanya vyema na zinaheshimika
Kenya, Uganda, Malawi, Zambia, n. K

Me sio muislam anatamam Waislam wapate chombo kingine tofauti na BAKWATA
Hizo nchi zote ulizotaja waislam hawajitambui au hawana nguvu wametawaliwa na wakiristo mfano mdogo tu Kenya haijawahi kuwa na rais mwislam toka ipate Uhuru na huo ndio ukweli mchungu

Kwa kudumisha amani ya nchi Bakwata ni chombo imara sana cha kusimamia maslahi ya waislam Tz kwani siku zote huwezi kufurahisha kila mtu haijawahi kuwa kivyo toka dunia iumbwe
 
Kalenda inasema idd ni siku mbili sio, kwa nini isiwe siku ya kwanza ni ya wanao tumia mwezi wa kimataifa na siku ya pili iwe ni kwa wengine ili wote wanufaike na siku hyo
Wangefanya hivyo idd ingekuwa siku tatu kumbuka Sunni wameanza kufunga mwezi 28 ambao kwao wao ni mwezi 29 hivyo basi mwezi 30 kwao kwa wengine ni mwezi 29 na Serikali inatambua siku mbili kila mwaka yani idd mosi na idd pili ndio maana miaka mingine tunaenda sawa tu bila malalamiko kwani huwa wao wakila 29 wengine wanakula 30 japo wao kwao itakuwa wanapumzika idd pili

Ni hivi hizo tofauti haziishii kwenye mwezi tu hata katika mambo mengine mfano wewe huoni ijumaa watu wanaenda kazini ila jmos na jpili wanapumzika je waislam nao wadai ijumaa iwe mapumziko?
 
Acha kutetea upuuzi huo hao BAKWATA wako wanatudhalilisha mbele ya uso wa dunia, dunia nzima ina sherekea Iddi siku ya Ijumah kasoro hao wa pumbavu wa bakwata , ambieni wa ondowe siasa kwenye dini yetu, mambo yao ya usalama wayapeleke pengine.
Nasikitika sana haya nayasikia kutoka kwa mtu ambaye ni muislamu,kama ni muislamu asiye na elimu ya kutosha basi sikulaumu

Ila kama unaelimu yako basi unachofanya ni ujinga,nawe umeingia kwenye mtego na nyimbo zile zile za watu kuisema vibaya Bakwata pasina hoja madhubuti,kwahiyo leo hii wagalatia watupangie lini itskuwa eid? Au tupange eid siku fulani kwakuwa tu eti tunadhalilika?

Umesahau aya hii:

“Wala Mayahudi na Manasara hawatakuwa radhi nawe mpaka ufuate dini yao. Sema: Hakika uongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uongofu (wa kweli). Na ukifuata matamanio yao baada ya yale yaliyokujia katika elimu, hutakuwa na mlinzi wala msaidizi kutoka kwa Mwenyezi Mungu.”
(Surah Al-Baqarah 2:120)

Ikiwa sisi waislamu tuna elimu juu ya mwandamo wa mwezi ,je utawafuata ambao hawajui figh ya dini yetu? Kwahiyo kwako wewe kuwafurahisha watu ni bora zaidi kuliko kufuata misingi ya dini?

Swali kwako dogo la kutafakari,kama wote tunafuata mwezi wa kimataifa,mbona Saudi Arabia hawafuati mwezi mwengine wowote ule usipokuwa ule unaotoka kwao??? Je wao hawajui elimu ya mwandamo wa mwezi?

Usiwe mjinga na kufuata miluzi ya watu,bali fuata haki siku zote,hitilafu ya kuuona mwezi imekuwepo hata kabla ya Bakwata kuwepo ,imeanzia karne nyingi sana huko nyuma,na itaendelea mpaka kiama,usiwe miongoni mwa wajinga
 
Hizo nchi zote ulizotaja waislam hawajitambui au hawana nguvu wametawaliwa na wakiristo mfano mdogo tu Kenya haijawahi kuwa na rais mwislam toka ipate Uhuru na huo ndio ukweli mchungu

Kwa kudumisha amani ya nchi Bakwata ni chombo imara sana cha kusimamia maslahi ya waislam Tz kwani siku zote huwezi kufurahisha kila mtu haijawahi kuwa kivyo toka dunia iumbwe
Daaah Ile nyie watu aisee
Kwamba waislam ni watu wa fujo ila wanatulizwa na BAKWATA?
Hivi Kuna muislam anaitii BAKWATA au wanaipuuza tu
Hawa waislam sio watu wabaya ni watu jamii yetu, ni watu wema tu
Kasoro zipo ila sio za kuondosha amani wala kuleta vita
BAKWATA hata haiwatali waislam labda inatumika kama chombo cha kuwakandamiza
Waislam na Watanzania wa Sasa sio wa enzi za Nyerere watu wanapima

Binafsi mimi ni mkristo ila natamani mno hawa wenzetu wapate chombo kingine tofauti na BAKWATA
Wafanye ibada zao Kwa haki na masikilizano
BAKWATA hii haiheshimiki tena

Me niliichukia zaidi walivopewa ubwabwa na kuja kuropoka amani na kutukuza mauaji ya mo29
 
Nasikitika sana haya nayasikia kutoka kwa mtu ambaye ni muislamu,kama ni muislamu asiye na elimu ya kutosha basi sikulaumu

Ila kama unaelimu yako basi unachofanya ni ujinga,nawe umeingia kwenye mtego na nyimbo zile zile za watu kuisema vibaya Bakwata pasina hoja madhubuti,kwahiyo leo hii wagalatia watupangie lini itskuwa eid? Au tupange eid siku fulani kwakuwa tu eti tunadhalilika?

Umesahau aya hii:

“Wala Mayahudi na Manasara hawatakuwa radhi nawe mpaka ufuate dini yao. Sema: Hakika uongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uongofu (wa kweli). Na ukifuata matamanio yao baada ya yale yaliyokujia katika elimu, hutakuwa na mlinzi wala msaidizi kutoka kwa Mwenyezi Mungu.”
(Surah Al-Baqarah 2:120)

Ikiwa sisi waislamu tuna elimu juu ya mwandamo wa mwezi ,je utawafuata ambao hawajui figh ya dini yetu? Kwahiyo kwako wewe kuwafurahisha watu ni bora zaidi kuliko kufuata misingi ya dini?

Swali kwako dogo la kutafakari,kama wote tunafuata mwezi wa kimataifa,mbona Saudi Arabia hawafuati mwezi mwengine wowote ule usipokuwa ule unaotoka kwao??? Je wao hawajui elimu ya mwandamo wa mwezi?

Usiwe mjinga na kufuata miluzi ya watu,bali fuata haki siku zote,hitilafu ya kuuona mwezi imekuwepo hata kabla ya Bakwata kuwepo ,imeanzia karne nyingi sana huko nyuma,na itaendelea mpaka kiama,usiwe miongoni mwa wajinga
Hamna kufuata miruzi BAKWATA wana dhihaki Dini yetu kwa kutanguliza siasa kuliko Imani, kwasbb waislam wengine kama kua bakwata ni ujira mko tayari kutetea upuuzi weni, aibu tunaiona sie tunao tanguliza Imani kuliko masirahi,.......muislamu mwenye uelewa mwenye akili timamu asio kua na upande huwezi kutetetea kitendo cha bakwata kugawa waislamu wa Tanzania kwa masirahi yao, nakujificha kwenye Hadith na Quran very foolish.
 
Tena aya yenyewe aliyoweka inazungumzia vitu kama maulid ambapo haikuwa ni desturi ya uislamu ila bakwata wanaihamasisha sana
 
Bakwata ni wanabidia sana mareed wanao tangaza na kupa umuhimu ni jikwa la siasa kwao kuweka sera na matangazo kwa watanzania wasio elewa dini yao mauredi ni political capital kwa bakwata sio dini.
 
View attachment 3561352

Kumekuwa na ujinga mwingi sana wa watu ambao hawajui chochote kuhusu Uislamu na kuwa kimbelembele kutoa majibu ya Uislamu,ikiwa wao tu hawajui imani yao vizuri kumjua yupi ni Mungu na yupi ni nabii/mtume ndio wataweza kweli kuujua Uislamu?

Nimepitia post kadhaa kuhusiana na mwandamo wa mwezi,wengi ambao sio waislamu ndio wa kwanza kuiponda Bakwata kwamba ni chombo sijui cha Ccm au sijui cha Serikali,huu ujinga mmeutoa wapi?

Yani kwakuwa tu sikukuu haikuangukia Ijumaa basi ujinga wenu,upuuzi wenu wote mnaulekeza kwa Bakwata, je mnajua kuhusu elimu ya figh ya dini ya kiislamu?

Kama hamjui sasa mnapata wapi gut za kuzungumzia kitu ambacho hamkijui? Yani sawa sawa na Mimi leo kobazi nizungumzie kuhusu Naziri wanazo weka makatekitsi au mafaza au mabraza,though nilipata elimu kidogo kuhusu hili lakini sina gut ya kueleza kama wakatoliki wenyewe

Uislamu katika elimu ya figh/ Sheria ya dini kuhusiana na ibada mbali mbali,inasema kuelekeza njia mbili ambazo waislamu wanaweza kufunga au kufungua kutokana na muandamo wa mwezi

Kuna ile kuona mwezi mahali popote pale na kuna ile kuuona mwezi kutokana na jografia ya zone husika,na hiyo ya kuona kutokana na zone ya nchi husika ukanda husika ndio ambayo imekuwa ikitumika karne na karne,sasa Leo hii Bakwata wakitumia njia hiyo ndio mnawaona vibaraka wa CCM au Serikali?

Stay away from our business!!!

Ni hayo tu!
Kobazi umechafukwa pole,dini ni ugonjwa wa akili hasa uislam
 
Kalenda inasema idd ni siku mbili sio, kwa nini isiwe siku ya kwanza ni ya wanao tumia mwezi wa kimataifa na siku ya pili iwe ni kwa wengine ili wote wanufaike na siku hyo
Inabidi nianze kutulia kama wewe nitoe mawazo yakujenga kama hivi

Yaani inabidi iwe hivyo maana nakumbuk tulivyokuwa shule wale wanaoanza kusheherekea iddy walikuwa wanapata tabu sana maana kama bakwata wakipinga kuwa mwezi haujaonekana Basi inabidi hiyo siku tuende shule

Kwahiyo wao wakikaza wasipokuja shule siku Iddy ikipita wao ni adhabu kama kawaida

Kwahiyo inabidi tu iddy ianze kwa hawa ili na wao washeherekee na inayofata kwa bakwata nao washeherekee hapo hata ukiwapa siku mbili kama unavyowapa bakwata peke yao zinatosha kugawana na kila mtu afurahie
 
Daaah Ile nyie watu aisee
Kwamba waislam ni watu wa fujo ila wanatulizwa na BAKWATA?
Hivi Kuna muislam anaitii BAKWATA au wanaipuuza tu
Hawa waislam sio watu wabaya ni watu jamii yetu, ni watu wema tu
Kasoro zipo ila sio za kuondosha amani wala kuleta vita
BAKWATA hata haiwatali waislam labda inatumika kama chombo cha kuwakandamiza
Waislam na Watanzania wa Sasa sio wa enzi za Nyerere watu wanapima

Binafsi mimi ni mkristo ila natamani mno hawa wenzetu wapate chombo kingine tofauti na BAKWATA
Wafanye ibada zao Kwa haki na masikilizano
BAKWATA hii haiheshimiki tena

Me niliichukia zaidi walivopewa ubwabwa na kuja kuropoka amani na kutukuza mauaji ya mo29
Uwelewa wako umeishia hapo sikulaumu ndio maana ukaja na conclusion kuwa nimemaanisha "waislam ni watu wa fujo" thanks and goodbye
 
Hamna kufuata miruzi BAKWATA wana dhihaki Dini yetu kwa kutanguliza siasa kuliko Imani, kwasbb waislam wengine kama kua bakwata ni ujira mko tayari kutetea upuuzi weni, aibu tunaiona sie tunao tanguliza Imani kuliko masirahi,.......muislamu mwenye uelewa mwenye akili timamu asio kua na upande huwezi kutetetea kitendo cha bakwata kugawa waislamu wa Tanzania kwa masirahi yao, nakujificha kwenye Hadith na Quran very foolish.
Wewe bakia kuandika nyuzi zako kuhusu wagalatia tu ndio zinakufaa,lakini usilete hoja zako zisizo na kichwa wala miguu,kifupi wewe umeshaingia kwenye mtego na mkumbo wa wagalatia

Sina tena cha kujadili na wewe

Asante
 
Back
Top Bottom