Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,130
- 26,150
- Thread starter
- #21
Utaelewa tuWeka mambo sawa nyumbani kwako na msikitini kwako, huku nje dini ni ya wote, huna authority au hakimiliki nayo.
Utaelewa tuWeka mambo sawa nyumbani kwako na msikitini kwako, huku nje dini ni ya wote, huna authority au hakimiliki nayo.
kajielimishe kidogo khs huo msemo huwa unamaanisha niniKwa hio ni biashara sio dini au imani km mnavyoielezea? Umesema wewe sijasema mimi kwamba mnafanya biashara
Hapo nimekusoma , hivyo kwa mujibu wa qur'an na hadithi Bakwata wapo sahihi?Bwashee elimu au maarifa katika dini ya uislamu,yana vyanzo viwili tu
Qur'an na hadith au maelekezo ya Mtume,kuna mambo hayajafafanuliwa zaidi na qur'an ila yamekuja kufafanuliwa na MTUME
Hata yakiwatoa ni sawa tu, ili mradi hawalazimishwa kwa nguvu au vitisho.Sio mbaya watu wakijadili kwa namna wanavyoona wao muhimu tu maneno yao yasiwatoe kwenye malengo yenu
Sasa kama hao walio soma hawajui tu kuhusu elimu ya mwandamo wa mwezi,elimu yao waliosoma wamejifunza nini sasa??Hii Dunia ya Kidigitali hakuna jambo la Siri litakalo sitirika bwashee na nikupe taarifa tu kuna Ma father wa Kikatoriki
Wamepiga theology zote mbili kwa pamoja yaani kaipiga Bible na Quran in deep tena wanaenda mpaka kwa wahadhiri wa dini huko mashariki ya kati kama Saudia,Lebanon na Jordan kuchimba in deep kuhusu Uislam ,.
Hivyo usijipe hitimisho la watu hawajui sema wewe ndie hujui aisee!
NaamHapo nimekusoma , hivyo kwa mujibu wa qur'an na hadithi Bakwata wapo sahihi?
Basi sawa bwashee, huenda waliotaka ijumaa walitaka waianze weekend mapema😅Naam
Japo Imani zote ni sawa tu hadithi za Abunuasi lakini ukweli ni Kobazi ndiyo waanzilishi wa kuzungumzia imani za Wagalatia, walianzia enzi za mihadhara na Wagalatia nao wakaanzisha yao wakawa wanapigwa na Kobazi kila wabapoichambua Qur'an.View attachment 3561352
Kumekuwa na ujinga mwingi sana wa watu ambao hawajui chochote kuhusu Uislamu na kuwa kimbelembele kutoa majibu ya Uislamu,ikiwa wao tu hawajui imani yao vizuri kumjua yupi ni Mungu na yupi ni nabii/mtume ndio wataweza kweli kuujua Uislamu?
Nimepitia post kadhaa kuhusiana na mwandamo wa mwezi,wengi ambao sio waislamu ndio wa kwanza kuiponda Bakwata kwamba ni chombo sijui cha Ccm au sijui cha Serikali,huu ujinga mmeutoa wapi?
Yani kwakuwa tu sikukuu haikuangukia Ijumaa basi ujinga wenu,upuuzi wenu wote mnaulekeza kwa Bakwata, je mnajua kuhusu elimu ya figh ya dini ya kiislamu?
Kama hamjui sasa mnapata wapi gut za kuzungumzia kitu ambacho hamkijui? Yani sawa sawa na Mimi leo kobazi nizungumzie kuhusu Naziri wanazo weka makatekitsi au mafaza au mabraza,though nilipata elimu kidogo kuhusu hili lakini sina gut ya kueleza kama wakatoliki wenyewe
Uislamu katika elimu ya figh/ Sheria ya dini kuhusiana na ibada mbali mbali,inasema kuelekeza njia mbili ambazo waislamu wanaweza kufunga au kufungua kutokana na muandamo wa mwezi
Kuna ile kuona mwezi mahali popote pale na kuna ile kuuona mwezi kutokana na jografia ya zone husika,na hiyo ya kuona kutokana na zone ya nchi husika ukanda husika ndio ambayo imekuwa ikitumika karne na karne,sasa Leo hii Bakwata wakitumia njia hiyo ndio mnawaona vibaraka wa CCM au Serikali?
Stay away from our business!!!
Ni hayo tu!
🤣🤣Basi sawa bwashee, huenda waliotaka ijumaa walitaka waianze weekend mapema😅
NdioKwaiyoo umemaind
Sasa huu ujinga si ndio kama huo ulioandika hapa,kwamba kuna wengine wanaamini ni chombo cha serikali na wengine wanaona tofautiJapo Imani zote ni sawa tu hadithi za Abunuasi lakini ukweli ni Kobazi ndiyo waanzilishi wa kuzungumzia imani za Wagalatia, walianzia enzi za mihadhara na Wagalatia nao wakaanzisha yao wakawa wanapigwa na Kobazi kila wabapoichambua Qur'an.
Kuhusu BAKWATA kuwa part and parcel ya CCM na serikali hilo liko wazi lakini kwenye hayo mambo ya kuonekana mwezi au la ndiyo moja ya obvious gaps kwenye hizo hadithi za kale.View attachment 3561361View attachment 3561362
Wewe unaoona ni upuuzi,fanya yako haya tuachie sisiDini ni upuuzi na utapeli tuuu achana nazo fanya ishu zako
Wakina nani hawajui elimu ya mwandamo wa mwezi?Sasa kama hao walio soma hawajui tu kuhusu elimu ya mwandamo wa mwezi,elimu yao waliosoma wamejifunza nini sasa??
Nikuulize weweWakina nani hawajui elimu ya mwandamo wa mwezi?
Wenzako wapo bado karne ya mawe,leo wapo mwaka wa 1444 so mleta mada kwa muktadha huo yupo sahihi kwamba muumini anayeishi kiimani mwaka huo hapo juu (maana kama mwaka huu na karne hii 21 hakuna atakaeelewa) hawezi kuhoji sana.Hii Dunia ya Kidigitali hakuna jambo la Siri litakalo sitirika bwashee na nikupe taarifa tu kuna Ma father wa Kikatoriki
Wamepiga theology zote mbili kwa pamoja yaani kaipiga Bible na Quran in deep tena wanaenda mpaka kwa wahadhiri wa dini huko mashariki ya kati kama Saudia,Lebanon na Jordan kuchimba in deep kuhusu Uislam ,.
Hivyo usijipe hitimisho la watu hawajui sema wewe ndie hujui aisee!
Upuuzii tuuu diniWewe unaoona ni upuuzi,fanya yako haya tuachie sisi
Unajua kuhusu huo mwaka ulianza kuhesabiwa kwasababu gani?Wenzako wapo bado karne ya mawe,leo wapo mwaka wa 1444 so mleta mada kwa muktadha huo yupo sahihi kwamba muumini anayeishi kiimani mwaka huo hapo juu (maana kama mwaka huu na karne hii 21 hakuna atakaeelewa) hawezi kuhoji sana.
SawaUpuuzii tuuu dini