Wasio waislamu msilete ujuaji katika mambo ya Uislamu

Njoo Kilimarathon mtaacha kujadili kwa muda.Mjionee uumbaji wa Mkuu wa Mbingu na Nchi.😀😀😀

Oya Wazee Mkuu wa Majeshi ni fundi kinyama..si Ashura,si Aisa si Dorine si Catie..watoto wakali wakali...

Manina mje huku ....Amuz ..Kili home
Njooni mtoe makasiriko😀😀
 
Wataendelea kusema na hakuna kitu mtafanya😀
Muhimu wapotezeeni watu hao kama wenyewe mnajua dini yenu
 
View attachment 3561352

Kumekuwa na ujinga mwingi sana wa watu ambao hawajui chochote kuhusu Uislamu na kuwa kimbelembele kutoa majibu ya Uislamu,ikiwa wao tu hawajui imani yao vizuri kumjua yupi ni Mungu na yupi ni nabii/mtume ndio wataweza kweli kuujua Uislamu?

Nimepitia post kadhaa kuhusiana na mwandamo wa mwezi,wengi ambao sio waislamu ndio wa kwanza kuiponda Bakwata kwamba ni chombo sijui cha Ccm au sijui cha Serikali,huu ujinga mmeutoa wapi?

Yani kwakuwa tu sikukuu haikuangukia Ijumaa basi ujinga wenu,upuuzi wenu wote mnaulekeza kwa Bakwata, je mnajua kuhusu elimu ya figh ya dini ya kiislamu?

Kama hamjui sasa mnapata wapi gut za kuzungumzia kitu ambacho hamkijui? Yani sawa sawa na Mimi leo kobazi nizungumzie kuhusu Naziri wanazo weka makatekitsi au mafaza au mabraza,though nilipata elimu kidogo kuhusu hili lakini sina gut ya kueleza kama wakatoliki wenyewe

Uislamu katika elimu ya figh/ Sheria ya dini kuhusiana na ibada mbali mbali,inasema kuelekeza njia mbili ambazo waislamu wanaweza kufunga au kufungua kutokana na muandamo wa mwezi

Kuna ile kuona mwezi mahali popote pale na kuna ile kuuona mwezi kutokana na jografia ya zone husika,na hiyo ya kuona kutokana na zone ya nchi husika ukanda husika ndio ambayo imekuwa ikitumika karne na karne,sasa Leo hii Bakwata wakitumia njia hiyo ndio mnawaona vibaraka wa CCM au Serikali?

Stay away from our business!!!

Ni hayo tu!
Tunajadili na hakuna kitu utafanya🤣
 
Nani alikuwa sahihi kati ya ijumaa na jumamosi maana wapo waislam waliopingana wenyewe kwa wenyewe.
 
Mkuu jambo muhimu ni BAKWATA kubadilika siasa zao zimesha pita na wakati, mpaka wasio waislamu wameshituka, mkuu acha kupangia watu lipi la kujadili kama wanacho jadili sio Fatua au Quran ila upuuzi wa baadhi ya viongozi wetu sioni shida yote, wambie viongozi wa bakwata wabadilike waislamu wame elimika tayari.
 
[SIZE=5]Waelimike katika nini? Katika kufuata mwezi wa kimataifa au[/SIZE]
 
Back
Top Bottom