Wasio waislamu msilete ujuaji katika mambo ya Uislamu

Wasio waislamu msilete ujuaji katika mambo ya Uislamu

Huwezi kujadili kuhusu sheria ambayo ndio msingi wa ibada wa dini ya kiislamu,na kutoa maoni yako au mawazo yako

Jadili kuhusu mambo mengine lakini sio msingi wa ibada ambao kutoweko kwake basi kunafanya ibada nzima kuwa batili
acha watu wajadili kila kitu wanachoona ila wewe kazi yako iwe kutoa facts na kutetea ndiyo Dini ilivyoenea kipindi cha mtume,kipindi cha Maswahaba,Kipindi cha Tab"iina na hata Tabi Tabi'iina na hata kipindi chochote tetea Acha kukataza..

mtu anayeogopa HOJa hana elimu ya kuitetea
 
Asante,nimekuelewa
 
Hamna kipya chini ya jua , kama za bibilia tunazichambua na kudadisi uongo na kweli nikiwa muislam mbona cha kwetu wasiguze .
Propendrance ya kiuhalisia ni kudadavua Jambo na kueleweshana ,ndio kunaleta maelewano makubwa .
Hivyo kupinga issue isichunguzwe ,nikama kusema wanaume tusiyachunguze maovu ya dada zetu kisa siye ni wanaume hatuelewi ya kwao .
Kwa heshima ,napinga hili hoja
 
Back
Top Bottom